Hatua zipi za kufuata ili mdogo wangu apate shule ya Serikali

Wilfred Ramadhan

JF-Expert Member
Apr 7, 2022
502
899
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa mwaka .

HIVYO BASI:
Kama kuna mdau yeyote anafahamu Hatua za kufuata ili mdogo wangu apate shule ya serikali yeyote ndani hata nje ya Dar es salaam naomba anipe mwongozo tafadhari.

0627092821

Natanguliza shukrani
 
Komaa kulipa ada roborobo mpaka amalize Diploma mkuu.
 
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa mwaka .

HIVYO BASI:
Kama kuna mdau yeyote anafahamu Hatua za kufuata ili mdogo wangu apate shule ya serikali yeyote ndani hata nje ya Dar es salaam naomba anipe mwongozo tafadhari.

0627092821

Natanguliza shukrani
Mi naona mzigo wa kwenda kidato cha 5 ni mzito maradufu kuliko mzigo wa kwenda kusoma Diploma.

Fuatana nami kama ifuatavyo:-

1. Akienda kidato cha 5 utalipa ada ndogo lakini mahitaji mengine yatakuwa makubwa mno (nauli, daftari, sijui dawati, pesa ya mlinzi, mara sare, viatu n.k n.k). Akienda Chuo hayo mahitaji mengine mwenyewe atajiongeza kinamna filani maana hali ya uanafunzi inakuwa inamtoka polepole na kujiona sasa ni mtu mzima anayesomea fani. Hata yeye atakuwa na uwezo wa kujua hali halisi ilivyo na namna ya kukabiliana nayo.

2. Kidato cha 5 bado hasomei fani yoyote wakati diploma anasomea fani fulani.

3. Unaweza faulu kumpeleka kidato cha 5 na akafeli kiasi cha kumlazimisha kusoma Diploma ya miaka 3 mingine na ukijumlisha ile 2 ya kidato cha 5 unapata miaka 5.

4. Unaweza kumpeleka kidato cha 5 na akafaulu kwenda Chuo na asipate Mkopo

5. Unaweza kumpeleka kidato cha 5 na akafaulu kwenda Chuo na akapata Mkopo shida ikaja kwenye kutafuta ajira baada ya kumaliza Chuo kikuu maana sokoni wanahitajika sana wenye Diploma kuliko wenye degree. In case akiajiriwa baada ya kumaliza Diploma atasoma degree huku anapata mshahara wake bila stress.

Jikazeni mumlipie hiyo ada Kwa kujichangisha kuanzia baba, wakubwa zake na ndugu wengine maisha yaendelee.

Kupanga ni kuchagua ila binafsi naona kwenda kidato cha 5 ni kupoteza muda.

Mi nilisoma kidato cha 5 kwa sababu sikuwa na mtu wa kunishauri haya otherwise I couldn't go.

Buchanagande
 
829,000/siku 365= TSH ngap?
 
Shukrani kwa mchango Mkuu
 
Back
Top Bottom