Msaada wa ufafanuzi kuhusu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

Kwaasenga

Member
Jan 28, 2023
73
102
Wataalam naomba aliyeelewa sentensi hizi zinahusu hii barabara ya pugu-mbezi- mwisho hadi bunju anisaidie ufafanuzi. Make mimi mchanganyiko wa maneno sikuuelewa kabisa. Naomba mtu anayeelewa anifafanulie hii barabara niielewe plz

8547CDE2-B1EC-42D9-880C-F82748A7D629.jpeg
 
Kuelewa kilichoandikwa hapo, hadi uwe umewahi kutumia hizo bara bara.
Mm imenichanganya kidogo, barabara inatajwa ya pugu mpaka bunju, maelezo yanayotolewa ni ya kigamboni. Kilomita zinabadilika ghafla. Yaani ufafanuzi haueleweki kabisa. Basi Tanroads wanisaidie make hizi ni barabara zao
 
Barabara inataja Pugu-Mbezi-Mwisho-Mpigi magoe-Bunju. Alafu unakutana na Bunju-mpigi magoe-kibamba. Mbezi mwisho-Kifuru-Banana. Hapa kuna dot zimeshindwa kuunganishwa. Hapo hapo unakutana na Kigamboni. Duuuuuh. Huu mchanganyo ni hatari sana.
 
Mm imenichanganya kidogo, barabara inatajwa ya pugu mpaka bunju, maelezo yanayotolewa ni ya kigamboni. Kilomita zinabadilika ghafla. Yaani ufafanuzi haueleweki kabisa. Basi Tanroads wanisaidie make hizi ni barabara zao
Hiyo ni kama ring road (bara bara ya mzunguko). Inaanzia Kigamboni mpaka Kongowe. Kongowe mpaka Mbagala. Mbagala mpaka Chanika. Chanika kupitia Pugu na Kifuru mpaka Mbezi mwisho. Mbezi mpaka Mpigi majohe. Mpigi mpaka Bunju kupitia Mabwepande.
 
Hiyo ni kama ring road (bara bara ya mzunguko). Inaanzia Kigamboni mpaka Kongowe. Kongowe mpaka Mbagala. Mbagala mpaka Chanika. Chanika kupitia Pugu na Kifuru mpaka Mbezi mwisho. Mbezi mpaka Mpigi majohe. Mpigi mpaka Bunju pale karibu na shule ya Baobab.
Naomba ufafanuzi, kwa mbezi mwisho inatokea sehemu gani na ikifika mbezi mwisho kuelekea bunju inapita wapi?
 
Kutoka mbezi mwisho kwenda bunju kuna njia mbili. Kuna ya kupitia makabe na ile ya kupitia mbezi high school. Na zote zinakutana chama then inakuwa njia moja inayopita mabwepande kwenda bunju. Sasa hapa ni njia ipi?
Inapita Mabwepande nadhani...
 
Kutoka mbezi mwisho kwenda bunju kuna njia mbili. Kuna ya kupitia makabe na ile ya kupitia mbezi high school. Na zote zinakutana chama then inakuwa njia moja inayopita mabwepande kwenda bunju. Sasa hapa ni njia ipi?
Mabwepande - Goba- Mpiji Magohe... nadhani...
Kuhusu kupita Makabe sina uhakika. Sidhani kama itapitia huko. Nadhani itapitia huko kwenye sekondari.
 
Back
Top Bottom