Msaada kuhusu utata wa majina yangu

Msaada kuhusu utata wa majina yangu

erickelly

Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
23
Reaction score
11
Habari zenu wapendwa .

Nilikuwa naomba msaada wenu wa kitaalamu nina shida katika majina yangu.

Jina langu la kuzaliwa lina-share pande mbili upande wa kiume na upande wa kike, nimetumia hivyo mpaka nilivyokuja kujitambua nikaona siwezi kuendelea na hilo jina nikajibatiza jina lingine hadi kwenye kazi zangu nikajitambulisha kwa jina jipya, sasa shida ipo kwenye kitambulisho cha NIDA jina lililopo ni lile la kuzaliwa nalo nafanyeje hapo iliniwezekutumia jina jipya.... 🙏
 
Habari zenu wapendwa .

Nilikuwa naomba msaada wenu wakitaalamu ninashida katika majina yangu.

Jina langu lakuzaliwa lina share pande mbili upande wa kiume na upande wakike nimetumia hivyo mpaka nilivyokuja kujitambua nikaona siwezi kuendelea na hilo jina nikajibatiza jina lingine hadi kwenye kazi zangu nikajitambulisha kwa jina jipya sasa shida ipo kwenye kitambulisho cha nida jina lililopo ni lilelakuzaliwa nalo nafanyeje hapo iliniwezekutumia jina jipya.... [emoji120]
Kaape kwa jina hilo jipya dhen taarifa peleka Nida.Ila kuwa tayari kusumbuka.
 
Habari zenu wapendwa .

Nilikuwa naomba msaada wenu wakitaalamu ninashida katika majina yangu.

Jina langu lakuzaliwa lina share pande mbili upande wa kiume na upande wakike nimetumia hivyo mpaka nilivyokuja kujitambua nikaona siwezi kuendelea na hilo jina nikajibatiza jina lingine hadi kwenye kazi zangu nikajitambulisha kwa jina jipya sasa shida ipo kwenye kitambulisho cha nida jina lililopo ni lilelakuzaliwa nalo nafanyeje hapo iliniwezekutumia jina jipya.... [emoji120]
nenda kwa wakili wa mahakama kuu,uape kwa jina ulitakalo,na pia nenda kwa msajili wa hati ukasajili hilo jina jipya na ulipie sasa peleka nida hati ya kiapo cha kubadili jina na hati ya usajili wa jina,utasajiliwa nida kwa jina jipya
 
Nimeenda mahakamani nimeenda aridhi nimetuma dodoma nimepewa gazeti nimepeleka nida nimeambiwa nimuandikie barua mkurugenzi wa nida kuomba kubadili majina ila sijui nitajibiwa lini maana hawaeleweki
 
Nenda Ofisi Za Nida Upate Mrejesho
 
Back
Top Bottom