Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

May 14, 2016
95
56
Habari za humu ndani wakubwa poleni na majukumu ya hapan na pale

Nimekuja kwenu kuhitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote maana Nina hali mbaya kiuchumi na Nina tegemewa na familia.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata KAZI ya uhouse boy nipo tayar kufanya ili nipite salama haya majaribu ninayo pitia.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Kama uko tanga ni uzembe wako kukosa ugali

1. Nenda kiwandani tanga fresh kange jeshini pale muulizie kessy jieleze muombe kazi ya kupakia maziwa ya kwemda dar kila siku jioni, hukosi 10k mpaka 15k. Kila siku gari mbili au tatu zinaondoka msuli wako tuu kupakia

2. Nenda kiwanda cha podoa, duga mwembeni kila siku wanaandikisha wafanyakazi 7000 kwa siku ukikomaa kupatana kama hujui kuonge 5000, mchawi barua ya mtendaji na kopi ya kitambulisho.

3. Nenda depo ya bia pale kwa minchi kama unaenda misitu, kuna kushusha na kupakia kreti za bia kila siku hukosi kazi.

4. Una lesen ya piki piki na wadhamin nenda pale pale kwa minchi kabla ya depo ya bia kuna wahind koko wanauza pik pik wanatoa za mikataba, ushindwe wew kuwa boda boda

5. Nenda amboni kwa liemba kiwanda cha chokaa, kazi zakutosha nunua mask na jipende kwa maziwa maana kuna vumbi la kutosha kila siku watu wanaacha kazi hakuhitaji connection

6. Kiwanda cha IPPTL kange jeshini kazi zipo kaongee na walinzi vizur mchawi barua na wadhamini

7. Nenda stand barabara ya 10, omba kazi za ukonda dei waka kuna costa za kwenda mlalo na korogwe vijana weng hawataki kazi za kulala kwenye costa mkifika mlalo, nenda wakujue jenga uaminifu kazi zipo

8. Nenda soko la mlango wa chuma kwa Mbilu ana fuso za kutosha omba kazi kaa kushoto hana uchoyo yule mzee kikubwa uaminifu tuu

9. Tanga wanawake wanapenda kulea vijana, nenda 15 au ya 8 maeneo ya maua pale, jipitishe vaa kisharobaro jioni wakikuona tuu umeula. Ila ujue kusimamia ukucha.

Tanga kulala njaa au kufa maskini ni kujitakia
 
Nyie ndo mnaitwa motivation speaker. Kma ni rahis KWA nin wasikutafute wew uwapeleke KWA hao watu unawapeleke wakazurure KWA kuulizia watu kisa we umeshapata

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ifike sehem tusisahau. Na kuomba mambo ni rahis kisa si tupo mazingira flan wanajeshi wanakuambia there z no easy task in the battle field acha kuongea vitu vgum katika njia nyepesi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kama uko tanga ni uzembe wako kukosa ugali

1. Nenda kiwandani tanga fresh kange jeshini pale muulizie kessy jieleze muombe kazi ya kupakia maziwa ya kwemda dar kila siku jioni, hukosi 10k mpaka 15k. Kila siku gari mbili au tatu zinaondoka msuli wako tuu kupakia

2. Nenda kiwanda cha podoa, duga mwembeni kila siku wanaandikisha wafanyakazi 7000 kwa siku ukikomaa kupatana kama hujui kuonge 5000, mchawi barua ya mtendaji na kopi ya kitambulisho.

3. Nenda depo ya bia pale kwa minchi kama unaenda misitu, kuna kushusha na kupakia kreti za bia kila siku hukosi kazi.

4. Una lesen ya piki piki na wadhamin nenda pale pale kwa minchi kabla ya depo ya bia kuna wahind koko wanauza pik pik wanatoa za mikataba, ushindwe wew kuwa boda boda

5. Nenda amboni kwa liemba kiwanda cha chokaa, kazi zakutosha nunua mask na jipende kwa maziwa maana kuna vumbi la kutosha kila siku watu wanaacha kazi hakuhitaji connection

6. Kiwanda cha IPPTL kange jeshini kazi zipo kaongee na walinzi vizur mchawi barua na wadhamini

7. Nenda stand barabara ya 10, omba kazi za ukonda dei waka kuna costa za kwenda mlalo na korogwe vijana weng hawataki kazi za kulala kwenye costa mkifika mlalo, nenda wakujue jenga uaminifu kazi zipo

8. Nenda soko la mlango wa chuma kwa Mbilu ana fuso za kutosha omba kazi kaa kushoto hana uchoyo yule mzee kikubwa uaminifu tuu

9. Tanga wanawake wanapenda kulea vijana, nenda 15 au ya 8 maeneo ya maua pale, jipitishe vaa kisharobaro jioni wakikuona tuu umeula. Ila ujue kusimamia ukucha.

Tanga kulala njaa au kufa maskini ni kujitakia
Unaonekana una point sema za kwenye makaratasi tu lucky dube aliimba akasema is not an easy ila shukran kwa ushaur wako
 
Nyie ndo mnaitwa motivation speaker. Kma ni rahis KWA nin wasikutafute wew uwapeleke KWA hao watu unawapeleke wakazurure KWA kuulizia watu kisa we umeshapata

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu mi nilizijua hizo sehemu sio kwa kuambiwa, baada ya kusimangwa kwa msosi na sehem ya kulala ilibidi nipambane kiume, sio motivation ni hali halisi mtembea bure sio sawa na mkaa bure, vijana wengi saiv wanataka kushikwa mkono hawana uthubutu
 
Unaonekana una point sema za kwenye makaratasi tu lucky dube aliimba akasema is not an easy ila shukran kwa ushaur wako
Ni uhalisia huko kote nimepita, nimempa njia achague pa kuanzia japo naweza muunganisha sehemu atakayo, lakin akijiamin na kuhitaj kazi kwel kama asemavyo hawez kukosa sehem mojawapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom