Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu.
Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya.
Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria.
Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa...
Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
Wapo watu ambao hufurahi wanaposifiwa kwa kila jema na zuri watendalo. Hili ni jambo zuri tu. Pia, wapo ambao huwa hawapendi sifa hata kama wakifanya mambo makubwa na mazuri. Hawa ni wachache. Kwa wenye busara, unaposifiwa sana lazima ujiulize. Ya kweli haya? Maana, ngoma ikivuma sana hupasuka...
Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu.
Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben
Reuben alisema kuanzia Jumatatu ijayo, ndege hiyo itaanza kusafirisha...
SERA MPYA YA KUSIMAMIA AJIRA YA WALIMU IFIKAPO SEPTEMBA 2023
Wasalaamu wapendwa, natumaini tuwazima wa afya!
Nimesikia chama cha Walimu kimepinga vikali. Mimi nadhani kuna mambo tunachanganya. Tuna haja ya kuwa na chombo maalum cha kusimamia taaluma ya ualimu. Nikimanisha Bodi ya Ualimu.
Hii...
Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni...
Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .
Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .
Hebu Jisomee...
Bila kutumia Maneno mengi wote tunajuwa mabilioni ya pesa za walipa kodi yalivyohujumiwa na wanaccm kukwamisha katiba pendekezwa ya tume ya Warioba.
Sasa kuna wanasiasa wanadhani tumesahau au sisi ni wajinga, eti wanataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025 halafu bunge hili la DP ndio...
Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha?
Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
SIMBA imemaliza msimu ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nafasi ambayo ilimaliza nayo msimu uliopita.
Kwenye Ligi Kuu hayo siyo mafanikio makubwa kwa kuwa matarajio yao yalikuwa kutwaa ubingwa.
Katika Ligi ya Mabingwa Afrika iliendelea ilipoishia msimu uliopita hatua ya robo...
Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) mitaa ya Kariakoo wamelalamika kupewa ‘notisi’ ya miezi itatu wakitakiwa kuhama kwenye majengo hayo pasipokuwa na mazungumzo yoyote.
Wafanyabiashara hao waliopo kwene...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:-
1. Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barbara Tanzania (TANROADS).
2. Amemteua...
Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha
Consumption ya mafuta ikoje?
NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24.
Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa jambo hlo please
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural...
FAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk.
Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na umri wa miaka miwili (2) alikuwa anaweza kuumba maneno yanayotengeneza sentesi kamili, ndipo walimu...
Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM.
Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.