Naona CHADEMA haikufanya sawa kumpongeza mh Rais Magufuli kwa kujenga Ikulu mpya.
Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga Dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na mali za baba.
Kwa umri wa CCM ile Ikulu...
NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000)
Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha
Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi).
Bei ni dola $21,000 au Milioni 48 za kitanzania )..(Maongezi kidogo...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na kueleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na Kamati teule ya Uchunguzi
Amebainisha kuwa Kamati imegundua uwepo wa Mapungufu katika mfumo wa kimuundo, kiutendaji na uendeshaji wa kitaaluma katika upimaji wa...
Wadau nimekutana na hizi picha kwenye moja ya ukurasa wao na sijapata jibu mujarabu kama hii ni moja kati ya zile ndege zilizopo so wamebuni njia mpya ya kuingiza amafaranga au ni mpya na ndiyo maana viti bado vina nylon?
Wataalam tujuzane...
HATIMAYE Uchaguzi Mkuu wa Burundi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na jumuiya ya kimataifa, utafanyika kesho, huku ukielezwa kuwa ni mwanzo mpya wa demokrasia katika nchi hiyo iliyokubwa na changamoto mbalimbali za kukosekana utulivu wa kisiasa na kijamii.
Wakati uchaguzi huo ukifanyika...
Watoto wengi nchini Uingereza na Marekani wameathirika na ugonjwa usio wa kawaida unaosababisha uvimbe wenye kuhusishwa na #CoronaVirus
Watoto 100 nchini Uingereza wameathirika na utafiti unaonesha kwamba dalili kama hizo zimeonekana kwa watoto wa sehemu nyengine barani Ulaya
Dkt Mike Ryna...
Serikali mpya ya dharura ya umoja wa kitaifa inatarajiwa kuapishwa rasmi nchini Israeli mapema kesho.
Serikali hiyo itaundwa na vyama vya Likud, Blue and White, Shas,United Torah Judaism, Labor na chama cha Derech Eretz.
Waziri mkuu Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutangaza ajenda ya Marekani...
Ukisoma mitandao mingi ya kijamii watu siku hizi wana kamsemo ka kumalizia hoja zao. Utakuta mtu anatiririka hoja zake wee mwisho anafunga kwa; Tulikosea mahali 2015. Wanamaanisha nini?
Habari zenu,
Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.
Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba...
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana kariakoo ndanda st
Tunadeliver free kwa dar pia.
Call/text/WhatsApp 0656666662.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho...
Kwa sasa kelele zimekuwa nyingi sana nchini. Hapo kabla kelele nyingi za ufisadi wa kifedha na mali ulipigiwa sana kelele. Sasa sijui ule ulimalizwa au umezidiwa kelele na huu ufisadi mpya wa madaraka ambao unawza pia kuitwa ulevi wa madaraka?
Ni nini hasa kinaendelea maana kelele zimekuwa...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo zaidi ya 70% ya confirmed cases za corona virus wagonjwa walipoteza uwezo wao wakunusa na kutest ladha kabla hata ya kuanza kuumwa
===
UFAFANUZI KUTOKA KWA WATAALAMU KUHUSU DALILI HII
Je kupoteza ladha na harufu ni dalili ya coronavirus...
Tazama namna Corona ilivyoathiri miji mbalimbali ulimwenguni. Janga hili limesababisha watu kuwekwa Karantini ikiwemo miji mingine kuwaamuru raia wake kutotoka nje.
Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo
Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa
UPDATE: 04-05-2020
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt...
Nimemsikiliza Rais Magufuli, akihutubia taifa baada ya kumwapisha Waziri mpya wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba. Kuna mengi aliyoongea JPM ambayo yanavutia mjadala. Mimi nijikite kujadili kwa kifupi alichosema Rais kuhusu Imani, Biblia na Viongozi wa Dini.
Nianze kwa kumtahadharisha Rais...
Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi.
Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi.
Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.