JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,519
- 7,554
Kwa sasa kelele zimekuwa nyingi sana nchini. Hapo kabla kelele nyingi za ufisadi wa kifedha na mali ulipigiwa sana kelele. Sasa sijui ule ulimalizwa au umezidiwa kelele na huu ufisadi mpya wa madaraka ambao unawza pia kuitwa ulevi wa madaraka?
Ni nini hasa kinaendelea maana kelele zimekuwa nyingi hasa za kutishana na hali fulani ya kama kuona nchi haina sheria au kupuuzwa kwa sheria.
Au ndio ule utimilifu wa kile kilichoitwa "ukichaa-kichaa" muda fulani hapo kabla. Ila mambo yanavyoendelea sio vyema kwa kweli.