House4Sale Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
262
72
NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000)

Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha
IMG_20200410_181114.jpg
IMG_20200410_181114.jpg
IMG_20200410_181000.jpg


Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi).

Bei ni dola $21,000 au Milioni 48 za kitanzania )..(Maongezi kidogo yapo.

Mwenye kuhitaji specification zake:👇👇

1: Ina vyumba 3 ambapo 2 ni master/self contained

2: Jiko,seble na dining

3: Imewekewa umeme tayari

4: IPO kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 18X19

5: Kiwanja kipo barabarani (barabara ya Madale-Mbopo)

6: Eneo limepimwa na kuwekewa mawe/bicon..(file lipo ofisi za urasimishaji ktk hatua za mwisho za kupata HATI)

7: Mwenye kuuza nyumba ni Mimi mwenyewe(mumiliki wa eneo).

8: Sababu za kuuza: Naamia mji mwingine/mkoa mwingine).

Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba hii..+255784355775 - Mr Mbungi)

NOTE : KWA WANUNUZI SERIOUS TU, SIHITAJI DALALI*

IMG_20200410_181152.jpg
 
Kila la heri mkuu, wanakuja wenye pesa zao, mimi bado hata laki 5 sina.
Ila vizuri ungetueleza sababu ya nyumba kuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kujua wengine wanauza kwasababu zipi.

LA kwangu Mimi Madale ni sehemu moja nzuri sana ya kuishi na hakuna complications za namna yoyote.

Ila Mimi kama ningekuwa naendelea kuishi dar, basis ni madale tu..au hata ikinibidi kurudi dar, basi nitarudi maeneo ya madale.

Ila kwasasa naamia mkoani..(Kama alivyosema mzee
 
Ila Kiwanja Ni kidogo sana. Jamani hata kama huna pesa jitahidi angalau ununue 400 sqm ( 20*20).
 
Back
Top Bottom