Member mpya ndani ya JAMIIFORUMS

Elezea jinsia yako, timu ya kabumbu unayoipenda Yanga au Paka (sorry simba), mlengo wako wa kisiasa ((beberu au mzalendo) nk.
 
mwanaume,
si Simba wala Yanga mimi shabiki Azam fc,
hapo kwenye mlengo wa kisiasa sijakupata vizuri (beberu au mzalendo) nk.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom