Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !
Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!
Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!
Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla,
PEOPLE'S
Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja.
Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
Tumsaidie Katibu Mkuu Mpya
VIPAUMBELE POTOFU:
1. Kudai tume huru
2. Kuandaa wagombea uchaguzi mkuu
3. Chadema ni msingi
4. Chadema digitali
5. Ilani ya uchaguzi
VIPAUMBELE SAHIHI:
1. Kusimamia na kutoa Mapato na matumizi
2. Kuhakikisha chama kinajivua sifa ya ukanda
3. Kurekebisha...
Mwenyekiti wa bodi ya utalii nchini Jaji mstaafu Anthony Mihayo amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa wa watalii kutoka nchi takatifu ya Israel wanaokuja nchini kwa mapumziko.
Jaji Mihayo amesema hayo wakati akilipokea kundi la kwanza la watalii hao lililowasili jijini Arusha leo.
Aibarikie...
Habari za asubuhi wakuu,
Kwa niaba yangu mimi mwenyewe nawatakieni wote heri ya hizi sikukuu mbili kubwa christmas and newyear. Mungu awape yale mnayoyatamani na awafanyie wepesi katika magumu yenu.
Nawasilisha.
WanaJF Salaam
Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
Wadau.
CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo.
Matokeo Kamili:
Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata Kura 468.
Dkt Batilda Burian Amepata Kura 339.
Ndg.Bakari Msangi Amepata Kura 48.
Msimamizi wa...
Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki...
Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu.
Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
Chimbuko lake ziara ya ghaa JPM, Yasuka upya wataalamu ughaibuni, Mapato yapaa bn 2.6/- hadi bilioni 5 .
MNAMO Novemba 9 ya mwaka 2015, akiwa mgeni madarakani, kwa mara ya kwanza Rais Dk. John Magufuli, alifanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kusikiliza kero...
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu...
The GODDESS comes out with another masacre featuring uganda's finest dancers #GhettoKids , the queen of uganda's stages #SpiceDiana and South Africa's baddest female rapper #GigiLamayne The song is titled ALAMBA CHINI.
Diaspora wengi hasa wa US walikuwa wameanza kutuma pesa zaidi kwasababu ya urahisi wa kutuma pesa. Kwa kutumia hizi Apps. Lakini inaelekea Serikali imeonzeza sana sheria kiasi kwamba inaweza kufanya watu waache kutumia hizi app na kupunguza mapato makubwa kwa nchi.
Maswali ya uraia, kutuma...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu.
Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata...
Uchaguzi wa Israel unatarajiwa kufanyika Machi 2 mwakani, ikiwa ni wa tatu katika kipindi cha mwaka mmoja. Muswada wa kulivunja bunge, ambao pia unatangaza tarehe ya uchaguzi, utapitisha sehemu nne za mwisho, saa chache baada ya wabunge kushindwa kuunda serikali ya muungano baada ya muda wa...
Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa.
Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi.
Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.