NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
Hivi karibuni chama cha NCCR-Mageuzi kilizindua Ilani ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambayo kiujumla wake ilibeba ajenda takribani 10.
Ajenda hizi ni pamoja na:
1. Muafaka wa Kitaifa
2. Katiba Mpya
3. Elimu
4. Afya na Ustawi wa Jamii
5. Mazingira na Makazi
6. Vyombo vya habari na Asasi zisizo za kiserikali
7. Usawa wa Kijinsia na Makundi maalum
8. Uchumi
9. Usalama wa Taifa
10. Vita dhidi ya Rushwa
Kwenye ajenda ya 3 ambayo ni Elimu, NCCR-Mageuzi imefafanua vizuri na kuweka wazi kuwa endapo itashinda kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, basi itaanzisha mfumo mpya wa elimu ujulikanao kama Elimu msingi (Elimu ya Msingi) ambao utaishia mpaka kidato cha nne na baadae kujiunga na elimu ya sekondari miaka 2 kabla ya kujiunga na chuo kikuu. Katika madaraja haya mawili hakutakuwa na malipo yeyote ya ada (Elimu bila malipo)