Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza.
Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya:
Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
Huu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi...
Mimi natuma salamu kwa Rais wangu mpendwa Mheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe busara zaidi na weledi,akapate nguvu zaidi na aepushwe na hila zote za shetani.
Mwaka 2020 ukawe...
SALAMU ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2020 KUTOKA KWA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWA WATANZANIA
Nami nianze kwa kumshukuru Mola wetu Mtukufu kwa kutujaalia kuishuhudia siku ya leo ambapo tunauaga mwaka 2019 na kuukaribisha mwaka 2020. Lakini leo siyo tu...
Hotuba.
Ndugu Watanzania,
Nichukue nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya uliotupa nafasi ya kuzungumza leo.
Mwaka uliomalizika ulikuwa na changamoto nyingi sana kwa ujumla ulikuwa mwaka mbaya kwa maeneo muhimu ya demokrasia, Utawala Bora, Uchumi na Maendeleo kwa...
Nauza laptop aina ya dell
Inter core i3 RAM GB 4
Internal storage GB 300
Generation ya 3
Charge masaa 4
Bei 350,000
Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
Kuna wizi mpya umeingia, mjini haswa kwa wenye magari yanayotumia remote control.
Nadhani wataalamu wameshatengeneza remote yenye kuweza kuingiliana na remote nyingine hivyo kwa sasa remote za magari sio salama hata kidogo.
Kinachofanyika haswa sehemu za parking za public, kwenye parking...
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !
Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!
Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!
Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla,
PEOPLE'S
Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja.
Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
Tumsaidie Katibu Mkuu Mpya
VIPAUMBELE POTOFU:
1. Kudai tume huru
2. Kuandaa wagombea uchaguzi mkuu
3. Chadema ni msingi
4. Chadema digitali
5. Ilani ya uchaguzi
VIPAUMBELE SAHIHI:
1. Kusimamia na kutoa Mapato na matumizi
2. Kuhakikisha chama kinajivua sifa ya ukanda
3. Kurekebisha...
Mwenyekiti wa bodi ya utalii nchini Jaji mstaafu Anthony Mihayo amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa wa watalii kutoka nchi takatifu ya Israel wanaokuja nchini kwa mapumziko.
Jaji Mihayo amesema hayo wakati akilipokea kundi la kwanza la watalii hao lililowasili jijini Arusha leo.
Aibarikie...
Habari za asubuhi wakuu,
Kwa niaba yangu mimi mwenyewe nawatakieni wote heri ya hizi sikukuu mbili kubwa christmas and newyear. Mungu awape yale mnayoyatamani na awafanyie wepesi katika magumu yenu.
Nawasilisha.
WanaJF Salaam
Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
Wadau.
CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo.
Matokeo Kamili:
Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata Kura 468.
Dkt Batilda Burian Amepata Kura 339.
Ndg.Bakari Msangi Amepata Kura 48.
Msimamizi wa...
Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki...
Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu.
Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
Chimbuko lake ziara ya ghaa JPM, Yasuka upya wataalamu ughaibuni, Mapato yapaa bn 2.6/- hadi bilioni 5 .
MNAMO Novemba 9 ya mwaka 2015, akiwa mgeni madarakani, kwa mara ya kwanza Rais Dk. John Magufuli, alifanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kusikiliza kero...
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.