mpya

  1. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  2. Leak

    JamiiForums Tanzania Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

    Wasalaam wana jamvi Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021 Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa. namnukuu anasema "Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

    habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia heri ya mwaka mpya
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

    Kuelekea mkesha wa mwaka mpya, Jeshi la Polisi Nchini limewataka Wananchi watakaokusanyika katika fukwe za Bahari na Maziwa kurejea nyumbani ifikapo saa 12 jioni. Vilevile uchomaji wa Matairi umepigwa marufuku na kwakuwa unasababisha uharibifu wa miundombinu mingi ambayo imejengwa kwa gharama...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanyonge mnazungumziaje sherehe za xmas na Mwaka mpya?

    Taifa lenye maendeleo ni taifa lililo na furaha. Binadamu aliyeendelea hutenga muda wake kufurahi na familia pamoja ndugu kupitia likizo bila kujali aina ya kazi anayofanya au kupitia public holiday. Ninahusianisha Tanzania kuingia uchumi wa Kati 2020 na furaha ya Mtanzania. Ni kweli ipo furaha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

    Goood guuud safi sana kali aiseee
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?

    Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka? 1. Utaanzaje na atakuchukuliaje? 2. Vipi zikimshinda itakuwaje, na atajisikiaje? 3. Vipi akikukatalia utajisikiaje? 4. Baada ya namba 2 na 3 kutokea ndoa itakuwa salama? Styles ambazo zimezoeleka ni ...kifo cha mende ...mbuzi kagoma...
  8. X

    JamiiForums Tanzania VIMBWANGA MATUKIO CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

    Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani mwaka huu nawe bandika vyako :D:Dtamka neno moja la kijasiri :D Mubashara
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania CUF inawatakia wananchi heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2021

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI HERI YA KRISSMASI NA MWAKA MPYA 2021
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

    Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze. Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tazama VIDEO mpya ya Rosa Ree -That Gal

    The Goddess Rosa Ree has come through with another BANGER titled #ThatGal The Tanzanian female rapper does not seize to amaze us with her versatility and limitless talent. In this new joint she has fused 3 languages that is English, Swahili and the Jamaican patwaa. The command and authority...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya kwa niliowakwaza

    Mimi Doctor Pancho, Kuelekea mwishoni mwa mwaka na tunakaribia sikukuu hizi. Kwa wale niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine, Ama hata kuwatusi maana mikwaruzano kwa binadamu ni kawaida. Hivyo ningependa niwaambie tu hicho kilikuwa kionjo, Mwaka mpya nitakuja moto zaidi ya hivyo nilivyokuwashia.
  14. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

    Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo unaendelea huku baadhi ya wanavyuo wakielezwa kupewa nafasi kwa lengo lakutengeza viongozi wapya. Timu ya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro. Mchango wa wadau
  18. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  19. battawi

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

    NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule, Ndogo ni vyumba viwili. Eneo ni takriban 20 kwa 20. Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
Back
Top Bottom