OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 419
- 670
Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao
Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of Shoe leather cost), kwamba kwenda internet cafe kila wakati ili kusaidiwa kuomba nafasi hizo.
Nadhani zimetangazwa kwa haraka kabla ya tamisemi kujipanga kitecknolojia ndio sababu hadi sasa bado system yao iko Off. Hii inaonyesha kuwa wataalamu walikuwa bado hawajaarifiwa hivyo wanafanya kazi hivi sasa kipindi ambacho ilibidi watu wawe wameshaanza kutuma maombi
Kutokana na vitu kutokuwa well coordinated watu wa internet cafe watakula maisha kwa kuwa ni kawaida kupata wateja wengi kipindi cha mikopo, kuangalia matokeo na kuomba ajira kwa online portals
Lakini kwa hili tujirekebishe ili nafasi hizi zisiwaharibie watu bujeti zao kwa kiasi kikubwa, i.e sio wote wana laptops, wengine walishauza baada ya kumaliza vyuo, na sio wote walio na laptops wanaweza kuwa familiar na online portals kwa kuwa ni kawaida watu wengi tuko outdated
Sasa mtu aende internet cafe mara mbili kwa siku kuulizia kama system inapatikana au yeye mwenyewe kujaribu, is n't this costful
Ikumbukwe nafasi hizi zinapiganiwa na walimu wasio na michongo kwa kuwa watu wenye michongo yao washasahau kama wanamesomea ualimu vyuoni, na hawa wasio na michongo wako outdated sana
Ni mzee tu Naongea
Signed
Oedipus