Kukosekana kwa Sura mpya za Wagombea ubunge CHADEMA kunaashiria kutokubalika

Tulimgalagaza wenje aliekuwa na influence ya lowasaa, sembuse hoyoo kijanaaa?? Atagalagazwaa asubuhiii saaanaa. Hapa mwanza town ni mabula + mabulaa.
Mlimgalagaza wenje? Yaani bada ya kuiba kura na kushinda kwa gap ya kura elfu 2 ndio kumgaragaza? Acha utani wewe. Kama sio Mkapa hilo jimbo mngelisikia kwenye bomba.
 
Ongezea na hii Pisi ya kule Momba

EiImRUPXgAIhk4P.jpg
 
Efck0rtWkAgh4Kd.jpg
EhdXbf8XYAABThd.jpg

By the way mwaka huu wagombea ubunge wanawake ni 70. Ni rekodi tokea uhuru na ww unafahamu wapiga kura wengi ni wanawake then kwa trend hiyo unajifunza nni?
 
Kama aliiibiwa mbona hakupiga yowee??
Shida unacomment upo Buza wote mnafahamu Wenje alienda mahakamani akiwa na fomu zake zote kuonyesha aliongoza ila ndio hivo technicality za kimahakama zikamuokoa Mabula otherwise alimzidi kwa gap ya zaidi ya kura elfu 3. Hili muulize mtu yeyote wa CCM mwanza analifahamu vzuri sana.
 
Tarehe 28/10/2020 mtatuambia hizo PISI mlikuwa mnapisi vitu gani na huyo.
Hoja inasema wagombea wapya ww unasogeza goli eti ushindi?

Btw huyo ni binti as long as kura za ubunge za nchi nzima zikivuka 5% basi tegemea kuona hao waliogombea majimboni na kuanguka wakiingia bungeni kwa mlango mwingine.

Siasa ni hesabu sio kelele za mitandaoni
 
Kwahiyo huyo mgombea wenu ni PISI? haa haaaa. Kwahiyo badala ya kuweka mgombea nyinyi mumetuletea PISI. Hivi chadema mna nini kimewavuruga mwaka huuu?? Yaaaniii tutawagaragaza hadi mtueleze kwa nini mgombea wenu ni PISI.
 
Shida unacomment upo Buza wote mnafahamu Wenje alienda mahakamani akiwa na fomu zake zote kuonyesha aliongoza ila ndio hivo technicality za kimahakama zikamuokoa Mabula otherwise alimzidi kwa gap ya zaidi ya kura elfu 3. Hili muulize mtu yeyote wa CCM mwanza analifahamu vzuri sana.
Kwa nini hakushinda?? Kama aliibiwaa?? Subirini kipigo kingine kikubwaaaa, mwaka huuuu mkipata atadiwani wa dawa inchinzimaa, mtakua mumeshinda uchaguzi
 
Kwa nini hakushinda? Kama aliibiwaa?? Subirini kipigo kingine kikubwaaaa, mwaka huuuu mkipata atadiwani wa dawa inchinzimaa, mtakua mumeshinda uchaguzi
CHADEMA is a force to reckon with. Hilo hata CCM wanafahamu. Ngoja ifike tarehe 26 oktoba figisu figisu zitakavyoanza maana mnajua uchaguzi ukiwa huru na haki kura nyingi mtapoteza
 
Haupo sensible.

Unajua kabisa wabunge wamekatwa na tume halafu unaongea hivi.

Hii nchi haiwezi kusonga mbele ikiwa wananchi wataendelea kuwa wafia matumbo yao kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom