Kenya inahofia kuwa inakumbwa na wimbi la tatu la CoronaVirus baada ya madaktari kugundua dalili mpya kwa wagonjwa wa COVID19.
Dalili zilizooneka kwa wagonjwa ni pamoja na kifua kuuma, kuharisha, vidole kubadilika rangi na kuvimba macho.
Madaktari wanadhani ya kwamba kirusi kinajibadilisha...