Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,824
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.

IMG_20201117_091736.jpg
 
Dereva anayeendesha hiyo gari hayuko comfortable kabisa, anaendesha kama anachungulia barabarani kwa jinsi kulivyo na mazagazaga mengi yasiyo na maana.

Yani hapo gari ya tan 2 imebeba mzigo wa tani 10. bila shaka speed ya hilo gari ni zero

bila shaka hiyo picha ni shooting ya movie.
 
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Kwa style hiyo, huyo jamaa hatarajii kumuachia mtu mwengine Hilo gari . Maana amejidhatiti kutawala hadi Afe.
 
Back
Top Bottom