Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence

Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations.

“We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we want to change by ensuring inclusivity for all communities.”

Kenyatta said the current Constitution is to blame for lack of inclusivity in the country, citing the perennial violence experienced during and after elections.

He has appealed for a national conversation, to help Kenyans understand and critique the Building Bridges Initiative (BBI) which is set to be released this week.

“What we need is an honest national conversation about the moment for constitutional change,” he said, and dismissed claims by a section of leaders, including his Deputy William Ruto that BBI is all about creating positions for individuals.

According to political analysts in Kenya, the BBI report will be released on Wednesday, paving the way for a national referendum.

“Constitutional change is not all about creating positions for anyone,” he said, “it is aimed at ensuring we no longer have the winner takes it all and loser goes home with nothing after elections,” President Kenyatta said.

According to Kenyatta, the 2010 Constitution gave Kenyans some remedies but did it resolve or entrench some zero-sum game where the winner takes all and the loser goes home with nothing.

“Our Country is staring at a constitutional moment and the National question goes back to the advent of our Multi-Party System for indeed it was after the re-introduction of political pluralism in 1992 that negative politics began to dominate. Now we need to ask ourselves as a people; how do we change this through a constitutional consensus?,” he said.
 
Hatuandiki katiba mpya, anazungumza kuhusu kufanya marekebisho kwenye katiba ya Kenya 2010, kupitia 'referendum'. Acheni kutumia uelewa wenu finyu kuhusu haya masuala, kama propaganda na kisingizio cha kuendelea kutumia katiba mlioachiwa na mabeberu. Katiba ambayo inaendeleza utamaduni wa kujenga miungu watu na kuua mihimili mingine na taasisi nyeti ambazo zinafaa ziwe huru.
 
sijui kwa nini unahamaki!
nyie wakenya muliandika katiba mpya miaka 10 iliyopita- bado-
1. hakuwapa amani
2. hajawafanya muache kubaguana kimakabila
3. bado utaratibu wa uchaguzi wenu unaishia kwenye migogoro
Sasa referundum ni ya nini maana mlisema ingetatua matatizo yote Ndiyo maana kwa mfano wenu bora sisi Tanzania tubaki na hii ya kwetu
 
Hatuandiki katiba mpya, anazungumza kuhusu kufanya marekebisho kwenye katiba ya Kenya 2010, kupitia 'referendum'. Acheni kutumia uelewa wenu finyu kuhusu haya masuala, kama propaganda na kisingizio cha kuendelea kutumia katiba mlioachiwa na mabeberu. Katiba ambayo inaendeleza utamaduni wa kujenga miungu watu na kuua mihimili mingine na taasisi nyeti ambazo zinafaa ziwe huru.

utulize akili basi kabla hujaamua kumjibu mtu.

ni wewe na wajinga wengine mlishangilia sana marekebisho ya katiba yenu,bila kujua yale ni maandishi tu,mpuuzi yeyote juu akiamua asiyaheshimu anafanya na hakuna panya wa kumuuliza.

leo hii viongozi wa nchi wanatumia ujanja mmoja,wakiona mnatishia fujo kwa sababu ya kudai kitu fulani,wanatoa ili mridhike.lakini nyuma ya pazia wanafanya uhuni mwingine.ref nigeria na maandamano ya uvunjwaji wa SAS.

wakati nyinyi mazezeta mkidanganywa na katiba mpya,sisi tunaomba Mungu kiongozi anayeshika madaraka aiheshimu iliyopo,maana isipoheshimiwa iliyopo mpya ni bure tu.
 
Ktk media nyingi zinazo husu habari za kenya hasa BBI, inaonekana wa kenya hawajui muelekeo wao yaan hiwa nawashangaa sana akili zao maji taka

Wengine wana fikie BBI eti ni katiba mpya wengine wanajua labda ni sheria ...BBI ni kikao cha koshikaji wamepaanga yao kupitia migongo ya walalaa hoi ili wao waendelee kupiga pesaa na walala hoi mbaki midomo wazi

Ushauri wangu kwenu nyie raia wa kenya. Ambia viongozi wenu iyo BBI iwe ni freshy start yaan wenye kumiliki ardhi kunwa bqc 50% wairekeshe. Serikali kuu hapo ndio mta enjoy iyo BBI.

Sio mna ambiwa tu eti Building bridge initiative nq nyie mna sukumwa ktk mikokoteni
 
Hatuandiki katiba mpya, anazungumza kuhusu kufanya marekebisho kwenye katiba ya Kenya 2010, kupitia 'referendum'. Acheni kutumia uelewa wenu finyu kuhusu haya masuala, kama propaganda na kisingizio cha kuendelea kutumia katiba mlioachiwa na mabeberu. Katiba ambayo inaendeleza utamaduni wa kujenga miungu watu na kuua mihimili mingine na taasisi nyeti ambazo zinafaa ziwe huru.
Katiba kila mwaka, ukabila kila siku.. hadi waswahili wanawacheka..mnakwama wapi?
 
Ktk media nyingi zinazo husu habari za kenya hasa BBI, inaonekana wa kenya hawajui muelekeo wao yaan hiwa nawashangaa sana akili zao maji taka

Wengine wana fikie BBI eti ni katiba mpya wengine wanajua labda ni sheria ...BBI ni kikao cha koshikaji wamepaanga yao kupitia migongo ya walalaa hoi ili wao waendelee kupiga pesaa na walala hoi mbaki midomo wazi

Ushauri wangu kwenu nyie raia wa kenya. Ambia viongozi wenu iyo BBI iwe ni freshy start yaan wenye kumiliki ardhi kunwa bqc 50% wairekeshe. Serikali kuu hapo ndio mta enjoy iyo BBI.

Sio mna ambiwa tu eti Building bridge initiative nq nyie mna sukumwa ktk mikokoteni
Kwenye katiba yao walisahau kujadili mambo muhimu kama ardhi halafu wanakaa kulalqmikq njaa
 
Kwenye katiba yao walisahau kujadili mambo muhimu kama ardhi halafu wanakaa kulalqmikq njaa
Mi huwa nawaza how do you say you want to build a bridge while the situation on ground remain the same ... Nafikiri wao wana tazama ktk swala la kikabila pekee hasa ktk kisa cha mwaka 2007

Sasa nako Ruto ana create gap lake so wategemee kuwa na BBI version 2 endapo kama Odinga atachukua uongoz then ruto abaki pemben akililia
 
Back
Top Bottom