Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,939
2,000
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.

namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote"


Wapo Lyrics – Harmonize


(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi


Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao


Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo


Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi


Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe


Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)wasalaam wana jamvi
 

Bulesi

JF-Expert Member
May 14, 2008
8,972
2,000
Diamond amelishwa sumu mbaya sana na mama yake.

Mnamlaumu bure mama wa watu mbona hamumlaumu baba yake kama kweli ni baba yake!!

Wazungu wana msemo kuwa "Maternity is a fact but paternity is a probability""!! Mnajuaje huyo mnaesema ni baba yake, mama Diamond amemwambia mwanae kuwa sio biological father wake hivyo asishuhulike nae!!
 

Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
2,240
2,000
Wanaume tunajisahau sana kuwapendelea akina mama na kuwasahau akina baba wakati sisi pia ni akina baba, ndiyo maana hii tabia haiishi kwani tunaitengeneza wenyewe.
Wanaume tushtuke tuwapende baba zetu.
 

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
705
1,000
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.

namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote"


Wapo Lyrics – Harmonize


(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi


Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao


Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo


Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule

Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote

Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi


Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe


Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)wasalaam wana jamvi
Nyimbo za umbea umbea si mpenzi.
Me must sing,act ,be, work
Like a real men .
Si nyimbo umbea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom