Huyu ndiye Cedric Kaze, Kocha mpya wa Yanga anayerudisha heshima Yanga

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze.

Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp.

Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana.

Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi.

Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini.

Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona.

Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli.

Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha.
 
Tunaomba hii spirit ya wachezaji wetu ya kupambana iendelee.

Kabla ya kuja Kaze Yanga, mpira wa yanga ulikuwa slow slow, sasa kila mchezaji anakimbia ana kaba na anatumia nguvu, timu imebadilika sana.

Simba sio wabovu, wanakosa mbinu mpya za kimchezo,awali walisumbua sana timu pinzani lakini inaonekana sasa timu zimeijuliauchezaji wa simba, mabeki washamjua uchezaji wa chama , konde boy, kagere na Bobo.

Ukicheza mpira wa show simba atapiga ila ukipiga mpira kazi, kazi na kukimbia sana wanalainika

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
wana. haki sana,kocha wao anatia hamasa sana,tulitoka kupigwa tano lakini tulikuwa na uhakika kwamba tutashinda dsm sababu team ya kutafuta goal ilikuwa inaonekana ila kwa sasa hapana kwa kweli aisee,dah..MSHAMBULIAJI MMOJA?KUANZIA AUGUST HADI MAY?
Kishingo ni mweupe,wakati anakuja alikuta bado upepo wa Uchebe unavuma ndani ya timu.
Upepo wa Uchebe umekwisha sasa anaonekana madhaifu yake namna yalivyo.
Kuku kishingo achague moja kati ya haya mambo mawili"aondoke au abaki lakini bundi aamke"
 
anatia hasira sana siku hizi kuangalia mechi ya simba roho mkononi..kichekesho nasikia wanataka straika mnigeria sasa sijui wa nini maana akija atarundika strikers watatu kwenye benchi wakigombania nafasi moja,wakiingia ni kuwachoresha maana kwa mfumo wake wanakuwa wanakimbiakimbia tu
ukilalamika kuna wadau wanakumabia teams za kisasa duniani zinacheza hivyo,kha?????yaani mfumo wake inabidi uotee maboya kama coastal union na mwadui otherwise shughuli tuliiona kwa prisons,ruvu,polisi,kmc...kishingo ni boya sana hajui hata kusoma wapinzani kwanza hata subs zake za kubahatisha tu
 
Cedric kaze
Kuna siku katika pita pita zangu mtandaoni,nikasikia jina hili

Mimi sikumjua ikabidi nimwonyeshe mtani wangu shabiki wa mikia,alipoliona jina alistuka,ila akanipongeza.

Akanipa mawili matatu ya huyu jamaa,na Sasa nimeanza kuamini.

Kuanzia ukuta,viungo,ushambuliaji kote kunaimarika,na huyu wanamwita Saidoo!!!!!!!!!!!!kazi ipo
 
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze

Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp

Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana

Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi

Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini

Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona

Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli
Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha .
Hakuna mchezaji aliyekuwa anachukiwa kama Deusi Kaseke na Nchimbi. Lakini Kaze kambadilisha Kaseke kawa Kaseke mpya kabisa anayejiamini, kutoa pasi, kukaa kwenye nafasi, na mwenye kutumia akili nyingi sana
 
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze

Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni A ya Chama cha soka Ujerumani (DFB) ndio leseni ngumu zaidi ya ukocha kupatikana duniani, kifupi jina lake lipo kwenye daftari moja na wakina Jurgen Klopp

Kaze huyu ndie alikuwa Mchambuzi wa viwango kwa timu ya Taifa ya Ujerumani chini ya miaka 21, kilichotwaa kombe la dunia 2009, weka nukta hapo! Yaani Ujerumani walimpa majukumu nyeti sana

Kaze huyu alipewa kazi maalum na taifa la Ujerumani kufuatilia viwango vya viungo wao ingali wadogo, Toni Kroos, Sami Khedira na Mesuit Ozil, aliifanya kazi na akaikamilisha kazi

Kwanini namtaja sana Kaze leo?? Naachaje kumtaa kama mnamwona Kibwana Shomari mchezaji kinda amebadilika kabisa anachukua mali eneo lake, anatunza mali kwa kujiamini na anaitoa kwa kujiamini

Naachaje kumtaja Kaze kama ndie amempeleka Fei Toto mgahawani kisha achague Menu anayotaka, alichofanya yeye ni kumlipia bill yake, akamuweka sawa Mukoko, akawaambia Yanga chezeni kwa kumtazama huyu mtoto, nadhani mnamwona

Naachaje kumtaja Kaze kama sio yeye aliemuibua Saido Ntabazonkiza ingali kinda, akacheza michezo ya Rolling stone pale Arusha, akaenda Ulaya na karudi tena kwenye mikono yake, tukionacho kwake ni matokeo ya akili ya Kaze, aliesema mpeni mpira aamue yeye
Natamani sana nimalize kwa kusema nyuma ya ubora wa Yanga Afrika ni huyu Kaze, natamani tumsake yule Mswahili aliesema 'Ngoja ngoja huumiza matumbo' tumuombe atengue kauli
Goli tatu, alama tatu na round ya kwanza imeisha .

Mmesajili bila kocha lakini mkuu
 
Bwege kwel ww unawafanansha ma coach wa Europe na huyo MAITI
 
Hukusikia kuwa makubaliano ya makataba na Kaze yalifanyika kabla hajafika nchini na alishiriki kwenye usajili wa baadhi ya Wachezaji kwa kuwaambia viongozi wa Yanga wasajili Wachezaji fulani akija awakute?
Sawa Dada kavae kjora chako sasa
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom