mpya

  1. M

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari ya mkono

    Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari Inatumia umeme wa gari 12V Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo Inanyonya vumbi kwenye viti Bei 40,000 tu. Free delivery ukiwa dar Call/WhatsApp 0656 666 662
  2. Miss Zomboko

    Bunge laahirishwa mpaka Machi 30. Serikali kujenga shule mpya zaidi ya 1000

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini. Waziri Mkuu Majaliwa...
  3. B

    Kwanini wabunge wa CCM wanatumia hoja za wapinzani walizotoa Bunge lililopita? Hakuna hoja mpya?

    Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga? Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa vyema bunge lililopita na wabunge wa CCM na uongozi wa Bunge pamoja na Mawazir waliipinga vikali...
  4. L

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
  5. Da Vinci XV

    Ngoma mpya ya Rostam - Sifa

    Hawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini Verse ya Stamina imenivutia zaidi Kama kawaida flow zake, vionjo na misemo yake tata imeendelea kutamalaki Chupa...
  6. racka98

    Jinsi ya kutumia feature mpya ya Nearby Share kwenye Android phones

    Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
  7. sky soldier

    Rais Biden aweka rekodi mpya ya kupata dislikes nyingi, Youtube wakamatwa wakizipunguza, comments zazimwa

    Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila video inapopandishwa tangu aingie madarakani. Mbaya zaidi ni kwamba Youtube walichunguzwa na...
  8. Abdul Ghafur

    Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

    Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi. Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa...
  9. Rebeca 83

    Ray Vanny na album yake mpya

    Hello JF, Mimi nimeona kama Ray vanny hajafanya vizuri kwenye album yake mpya. Moja nyimbo nyigi ameshirikisha wasanii wengine wakubwa which is good strategically ila wamemfunika,lol. Second, Rayvany ameimba tone ya chini sana sio kama tulivyomzoea,tumeshindwa kumtambua. Next time Ray,be...
  10. M

    Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

    Inakuwaje wanajamvi! Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa. Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo. Ila engine...
  11. M

    Siku Rais Magufuli alipoahidi kuendeleza na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya

    Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
  12. CUF Habari

    Prof. Lipumba aendelea kudai Katiba Mpya kwa Rais Magufuli

    TAARIFA KWA UMMA PROF. LIPUMBA AENDELEZA ALICHOAHIDI NOVEMBA 2, 2020: AMPA MAKAVU RAIS MAGUFULI KUHUSU KATIBA MPYA: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba ametoa wito kwa Rais John Pombe Magufuli kutekeleza ahadi yake ya Kukamilisha kazi ya Kupata Katiba Mpya inayotokana...
  13. chawa wa mama

    Tulifanikiwa kupata nafasi ya katiba mpya tusisahau kuweka mambo haya

    1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu. 2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu. 3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge. 4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona...
  14. Melubo Letema

    Silas Lucas Isangi ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT)

    Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo. Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua... 1. Kaskazini : Alfredo Shahanga 2. Pwani : Robert Kalyahe 3. Magharibi : Amon David Mkoga 4. Nyanda za Juu : Lwiza John 5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani...
  15. D

    Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
  16. moudytz

    Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

    Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari
  17. ubuntuX

    INAUZWA Set mpya za kupambia cake zinauzwa

    Set mpya ya kisasa ya vifaa vya kupambia cake Set ina vitu vyote vya kupambia cake. Inakuja na vitu vingi kama sufuria 4 za cake Meza ya kupambia Nozzle 48 Kisu cha kukatia Mifuko ya nozzle.MkasiVisu vya kupambia,vijiko,paper cup na vingine vingi Set inapatikana kwa bei ya ofa 125,000 tu...
  18. Grahams

    Mwaka Mpya 2021 umeanza; umejiwekea Malengo yapi? Malengo yangu niliyojiwekea ni haya

    Salaam, Mwaka 2020 umeisha na sasa tumeanza Mwaka Mpya 2021. Wengi mtakuwa mlijiwekea malengo mbalimbali yawe makubwa, ya kati au madogo kwa mwaka uliopita, lakini kwa sababu mbalimbali kuna mliofanikiwa kuyatimiza na wengine mkashindwa kuyatimiza. Sizungumzii kuhusu malengo ya kuoa au kuolewa...
  19. Q

    Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo. ============ Waziri...
  20. M

    INAUZWA Set mpya ya vifaa vya kupambia cake

    Offer ya kuanzia mwaka Set nzima ya kupambia cake kwa bei ya 125,000 tu Inakuja na vitu vingi sana vya kisasa Ina nozzle piece 48, turnable table, visu vya kupambia, mifuko, slicer na vitu vengine vingi Ukiwa dar utaletewa free pia mikoani tunatuma. Call/WhatsApp 0784302225
Back
Top Bottom