Kwa hali hii wachezaji wengi wa mpira watakimbilia TZ, Mkataba mpya (114,272,966.78 USD) wasainiwa kuboresha ligi

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,914
2,000
Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo

114,272,966.78 USD kwa miaka 10

97,284,020.03 USD baada ya government taxes.

Kwa msimu wa 2021/22 mpaka 2023/24 mgao kwa kila timu kwa kila mwezi utakuwa kati ya Shilingi milioni 40 (17248 USD) mpaka milioni 50 (21561 USD) na kiwango hicho kitakuwa kinaongezeka kila baada ya kipindi fulani.

Kiwango hicho kitapanda kila mara mpaka mwisho wa mkataba huu utakapoisha miaka kumi ijayo.

Msimu wa 2028/29 mpaka 2030/31 kila timu itakuwa inapata milioni 82 (35360 USD) mpaka Shilingi milioni 102 (43984 USD).

Fedha hizi zitatolewa kwa mpangilio maalumu ili kuzuia zisitumike nje ya maandalizi ya timu na maendeleo ya soka.

ZAWADI KWA KILA MSIMU KUANZIA MSIMU 2021/22 HADI 2023/24 (ZWADI HII NI KILA MSIMU)

1622049496508.png

ZAWADI KWA KILA MSIMU KUANZIA MSIMU 2028/29 HADI 2030/31 (ZWADI HII NI KILA MSIMU)

1622049726770.png
 
Babaguy

JF-Expert Member
May 19, 2017
353
250
Awamu ya mama ni yafunguwa ccm zezetas bichwa. Mfano matu kama sky soldier,uchu CEO geza ulale and the rest.
 
mtanzania1989

JF-Expert Member
May 20, 2010
3,735
2,000
Kwa mpira kwa sasa Tz unafanyika uwekezaji mkubwa na kikubwa ni utawala bora na financial management ipo poaaa ndio maana kampuni zinakubali kuweka pesa zao. 100m USD ni pesa nyingi kwa ligi zetu na hii ni broadcasting rights tu sio main sponsor.
 
Tutafika tu, Miaka mitano iliyopita walitoa 12 million dollars ila leo hii wametoa 100 million Dollars.

Kwa kenya mshindi wa ligi anapewa kama 23,000 Us dollars, Hii kwetu itakuwa ni pesa anayopewa kila timu kwa mwezi
 
mtanzania1989

JF-Expert Member
May 20, 2010
3,735
2,000
Tutafika tu, Miaka mitano iliyopita walitoa 12 million dollars ila leo hii wametoa 100 million Dollars.

Kwa kenya mshindi wa ligi anapewa kama 23,000 Us dollars, Hii kwetu itakuwa ni pesa anayopewa kila timu kwa mwezi
Kenya porojo nyingi plus wanawatukuza DSTV mwisho wa siku wanapotezewa muda tu na ligi yao inashushwa thamani na mvuto.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom