UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
IMG_20210531_011120.jpg
 
Mwishowe hili litakuwa kero, kama sio tatizo kabisa!

Inaonyesha huko ndani hawana utulivu bado; sijui itawachukua muda gani waanze kuonekana kufanya mambo kwa uhakika.
Tatizo SSH ameruhusu vimemo, baadhi ya majina yanapenyezwa ikija kufanyika proper vetting unakuta mtu hafai hiyo nafasi. SSH anahitaji kuwa mkali akiendelea kulegezea wapiga deal itakula kwake, haiwezekani kila siku kunakuwa na makosa kwenye uteuzi.
 
31 May 2021
DCI mpya CP Camilius Wambura anaingia, aliyekuwepo amestaafu ? au amepangiwa kazi nyingine au labda kuwa balozi baadaye n.k

.................................................................

Toka maktaba :

28 Mar 2020
Dodoma, Tanzania

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Kamishna wa Polisi ROBERT BOAZ





20 May 2021
Dar - es-Salaam, Tanzania



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (katikati) akipokea baadhi ya nakala za vitabu vya mwongozo wa kuzuia na kufichua uhalifu katika Kata/Shehia kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Jamii wa Kampuni ya vinywaji ya Coca Cola, Salum Nassoro, ambapo jumla ya nakala 2000 zilichapishwa na kukabidhiwa kwa Jeshi hilo kupitia ufadhili wa kampuni hiyo ya vinywaji, kushoto anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Robert Boaz, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi

Rais Magufuli amteua mkuu mpya wa jeshi la polisi Tanzania - BBC ...
28 May 2017 — ... Tanzania Dkt. John Magufuli, amemteua kamishina wa polisi Simon Sirro kuwa mkuu wa jeshi la polisi (IGP

24 Feb 2017 — Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) CP Robert Boaz Mikomangwa (kushoto) akila Kiapo cha uadilifu katika utumishi wa umma.

PIX0
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz Mikomangwa (kushoto) akila Kiapo cha Uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Jaji Mstaafu Mhe. Harold Reginald Nsekela leo jijini Dar es Salaam

https://www.ippmedia.com › news
Top detective rejects Scotland Yard, FBI help in Lissu probe - IPP Media
18 Sept 2017 — Director of Criminal Investigations (DCI) Robert Boaz has ... in the Tanzania Police
 
Back
Top Bottom