The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Mkuu hujui walisitisha kutengeneza V8 200 series. Sasa wametoa model mpya ambazo ndizo hizo zitaingia sokoni 2022. Serikali ya CCM ilivyo na kiherehere na kushobokea malendcruiser watakuwa wa kwanza kuorder na labda wameshaorderZa nani hizo gari?
Slow slow mshamba sana,haya sasa zimekuja V6 zenye nguvu kuliko VIETE.Wapi Slowslow, aambiwe viete hizi huku.
Mbona zinataka kufanana na Nissan?
Everyday is Saturday...............................
Hahah Kwa hio angekuwepo sa hivi angesema unaijua V-sixiiiiiiiiii weweSlow slow mshamba sana,haya sasa zimekuja V6 zenye nguvu kuliko VIETE.
Haha slowx2 tatizo amekaririHahah Kwa hio angekuwepo sa hivi angesema unaijua V-sixiiiiiiiiii wewe
Sio V-six angesema unaijua Vii sexeeee weweeeHahah Kwa hio angekuwepo sa hivi angesema unaijua V-sixiiiiiiiiii wewe
Ndiyo Tunatumia SisiUnazijua v8 wewe.Hapo serikali ya ccm lzm iziode kama 300 hivi kwa ajili ya kutafunia kodi zetu