mpya

  1. Mr Njovu

    Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

    Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja. Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na...
  2. Protector

    Wilaya Mpya Kisesa, Mwanza: Maoni Juu ya Mgawanyo wake

    Habari wanaJF, Nimeona nilete kwenu hii ishu inayoendelea ya Uanzishwaji wa Wilaya mpya ya Kisesa. Kuna wilaya tatu zimeathirika moja kwa moja ambazo ni Ilemela, Magu na Misungwi. Mapendekezo ya makao Makuu ya wilaya yatakuwa Fella ambapo ndo itajengwa station ya SGR. Ni ukweli usiopingika...
  3. MtuloBM

    Huu ni utapeli mpya?

    Wandugu, Jana katika pita pita zangu huko YouTube nikakutana na hizi habari. Hawa jamaa wanajiita (Mula empire) TANZANIA PAYMENT wengi ya walionipa Habari za hawa jamaa kupitia YouTube channel zao wanasema ni moja ya njia mpya ya kupata pesa mtandaoni. Wanasema utaniunga Kwa Tsh 13000/= na...
  4. Erythrocyte

    Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  5. Abdul Nondo

    Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
  6. M

    Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

    Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta...
  7. VUTA-NKUVUTE

    Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  8. P

    Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

    Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu. Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu...
  9. Distant Relatives

    Heri ya wiki mpya na mwezi mpya

    Kumekucha. Ni siku mpya, wiki mpya na mwezi mpya. 1/3/21. Tuendelee kupambana huku tukilinda afya zetu katika nyakati hizi zenye changamoto lukuki za afya. Mungu abariki makusudio yetu. Amin.
  10. Nyani Ngabu

    Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
  11. jogoo_dume

    Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

    Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya. Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa. Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
  12. J

    IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  13. C

    Mfumo mpya wanatumia watu kutapeli watu

    Habari ndugu na jamaa naomba niwape story fupi, kama siku tatu nyuma nilienda mjini asubuhi nikafanya shughuli yangu nikageuka wakati nipo njiani nikakutana wadada wawili wamekaa mahali mmoja wao akaniita kwa ishara nikasogea mpaka mahali walipo mmoja akaanza kuongea na mimi, akanijulisha kua...
  14. J

    Hii stendi mpya ya mabasi ya mikoani (Stendi ya Magufuli) hayakuwa ni maono ya CHADEMA kweli?

    Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita. Naomba kuelimishwa Maendeleo hayana vyama cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
  15. Replica

    Rais Magufuli: Namshukuru ndugu Bashiru, Channel 10 tulinyang'anywa na kudhulumiwa

    Leo Rais Magufuli amezindua jengo la Jitegemee linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi lililokarabatiwa, miongoni mwa taasisi zilizopo ndani ya ni studio mpya za AMGL zinazoendesha vituo vya Channel 10, Plus na Magic FM. Baada ya uzinduzi huo, Rais Magufuli aliomba kuchagua mziki wake na kuchagua...
  16. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  17. AbaMukulu

    TAMISEMI Toeni Orodha Ya Wafanyabiashara Stendi Mpya Mbezi Luis

    Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis. Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya Wafanyabiashara waliopata sehemu za kufanya biashara kwenye stendi hiyo. Ingekuwa ni vyema kwa Wizara...
  18. M

    INAUZWA Fryer mpya ya umeme ya chips

    call/WhatsApp 0656 666 662 -Fryer mpya ya kisasa ya chips ya umeme -Ina matank mawili -ina ingia lita 6 za mafuta kila tank -made by stainless steel,haipati kutu -inaivisha chips mara moja zaid ya jiko la gas na mkaa -bei 185,000 tu -free delivery in dar
  19. Saa 7 mchana

    TCRA: Laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri, Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

    Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama. I smell a fish juu ya laini hizi. Nitahakikisha sipotezi laini ilikuepuka kurenew laini nakuingia huku. -- MAMLAKA ya Mawasiliano...
  20. B

    Mfumo mpya wa kutuma fedha kwa simu kuanza Julai

    Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika. Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips). Tips itahamasisha...
Back
Top Bottom