mpenzi

  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu. Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo, Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000. Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
  2. Loimata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

    Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur. Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  5. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

    Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa. Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hakimu wa kiume ajigeuza binti ili amfanyie mtihani mpenzi wake

    HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili kufanya mitihani ya sheria kwa niaba ya mpenzi wake. Ammaari Musa Semwogerere aliteuliwa kuwa Afisa...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

    Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku? Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara? Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote Ps: Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mume)

    Mimi Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 23, natafuta mume. Aliye serious karibu PM kwa maelezo zaidi, thanks!
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?

    Uzi mama Uzi unajieleza Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje? Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea...
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

    skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa nikamwuliza amempataje mpenzi wake akanijibu Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  13. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

    Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
  14. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Wana MMU naombeni mnipe tu pole. Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa 😥. Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa...
  15. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

    Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi Money penny: kwahiyo unasemaje? Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
  16. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS ya I miss you kwenye simu ya mpenzi wangu, nifanyaje?

    Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui. Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba. Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
  18. The only

    JamiiForums Tanzania Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

    Habari waungwana! Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane . Vigezo alivonivutia 1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo...
  19. Requal

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Source: TBC Television. Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya. Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
Back
Top Bottom