Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Kuna kisa nimekisikia Leo,

Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years

Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua

So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua kumuacha ili kumlinda asiuliwe na yeye mdada akaamua kurudi kwa ex wake


Je wewe msomaji unaweza kufanya maamuzi haya?
 
Mdada alikua amemiss tu show za ex wake.
Huenda huyo ex ndie aliempiga kibuti huyo dada, baada ya ex kuamua kurudisha majeshi bidada ndio akaamua kutunga huo uongo kwa currently man wake.
 
Aaah,anampoza tu hamna cha kutishiwa wala nini,miaka sita yote alafu uje kutishiwa maisha leo
Ni kwamba mdada ametafuta sababu ili tu jamaa asijinyonge make miaka sita si haba

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom