Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur.

Pia kila nikiupiga Wimbo wa taratibu ( Rhumba ) wa Nzele wa Marehemu Madilu Multi System nakumbuka mbali mno kwani na huu nao kwa Kuucheza Kwake Kiustadi ( kwa Mikogo ) ya Kikongo ( Ki Bandeko Nangai ) uliniwezesha Kupendwa na Jimama Mke wa Mtu ambaye baadae nilipojua tu Mumewe ni Mmoja wa Wazee wa Morogoro Porini nikajitoa Kwake rasmi nisije Kubanikwa kama Nyama ya Ng'ombe katika Jiko lenye Moto Mkali.

King Kong III nasikia nawe ( kwa mujibu wa Wafunga Buti wenzako hapo 521 na 34 ) ni Hodari wa Kucheza vyema Nyimbo za Kikongo ( Sebene na Rhumba ) kiasi kwamba Wake za Wenzako na wa Raia huwa wanakupapatikia mno hivyo nahitaji uhakika wako juu ya hizi Sifa zako Tukuka nilizopewa.
 
Ndombolo ya solo ya wenge Musica na Julia wa kofi
 
Back
Top Bottom