Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Source: TBC Television.

Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.

Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
 
Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" 😅
 
Source: TBC Television.

Aliyewahi kuwa Miss ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Bangala.
Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa Sasa hana tena uhusiano e kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.

Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
msitutoe kwenye bandari, rudisheni pesa za mwarabu
 
Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
 
Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" 😅
Mpuuzi sana yeye kashakula utamu weeee baada ya hapo ndio anatuambia kujilisha upepo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom