mpenzi

  1. rula

    JamiiForums Tanzania Kumpata mpenzi mara nyingi huwa ni ngekewa

    Habari wana JF Suala la kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni suala la msingi sana katika maisha ya kila mwanadamu. Kuna muda kupata mtu wa kuwa nae kwenye mahusiano inakuwa ni changamoto kubwa sana hasa kwa baadhi ya sisi ambao unakuta Muonekano hauna haiba, huna elimu, huna pesa, mfupi...
  2. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Salute mates... Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila...
  3. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

    Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
  4. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mpenzi wa pembeni sisimamishi

    Habari zenu, Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Roho inasita kumpatia mpenzi wangu Zawadi

    Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo wangu nikitaka kumpa hautaki kabisa tatizo sijui liko wapi? ila huyu kaka kunipenda ananipenda...
  6. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na mpenzi wako ondoka na kila kitu chako pamoja na vitambulisho vyako

    Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine. Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe.. Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri.. Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na mataifa mengine..kuwa waangalifu.. Kuwa muangalifu nawakumbusha tuu..kitambulisho,number za bank..ni...
  7. KING HAM

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mpenzi aliyekeketwa

    Habari zenu wakuu, Kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliyekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo. Je, nikweli au niuzushi tu? Nawasilisha ✍️
  8. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

    Najua tunawapenda sana wanawake/wapenzi zetu lakini kuna vitu hadi na leo hii kuna baadhi ya wanaume hawavijui achilia mbali kuvifanya kwa wapenzi zao, kuna mambo mawili magumu yanayowashinda wanaume wengi (si wote) kama 1. Kufua nepi za mtoto zenye kinyesi 2. Kumfunga nepi mtoto (nikikumbuka...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

    Kama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini?
  10. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Hawachi: Mwisho wako kutoa pesa kumpa mpenzi ilikuwa kiasi gani?

    Hili swali kuna mtu katandikwa na member wa kuitwa Hawachi kwenye thread moja hivi. Yule jamaa sijui alimjibu nini, nikasema hivi kwa mfano hilo swali ningeulizwa mimi, ningejibuje? Kusema la ukweli kusema la ukweli kusema la ukweli Mimi mara ya mwisho kutoa pesa ilikuwaaaaaaaa...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

    Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza. Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jamani kina dada mna nini jamani kuwataka shemeji zenu?

    Wazima ,bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada Na nyie kina dada acheni kusimulia mambo mazuri mnayofanyiwa na wapenzi wenu ona sasa yaliyomkuta ndugu wa rafiki yangu. Iko hivi, rafiki yangu kanipa mkasa ambao umenigusa sana! Ana ndugu yake ambae aliku na mpenzi wake. Mapenzi kama yote...
  13. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ku fake maisha ni chanzo cha maumivu katika mapenzi

    Wengi huumizwa na mapenzi kwani hao wapenzi wao wamewapata kwa ku fake maisha.. mtu anajimwambafai kuwa hela zipo,burudani ndio kisima,shida hazijawahi kusumbua wakati kiuhalisia si sahihi!. Ndugu kaa ukijua lazima pia utapata mpenzi fake!.. atakachofata kwako ni u fake wako ila atakapo gundua...
  14. sungura23

    JamiiForums Tanzania Upweke umenishinda jamani... mdada karibu kwenye maisha yangu

    Habarini wana JF? Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka. Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe: 1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe mdada ambaye unaweza kuwa huru kunitania, kunichokoza, uwe na stori za hapa na pale yaani kifupi...
  15. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo dada zetu wanapoanguka

    Hivi sasa kumekuwa na jopo la wanawake kurudia wapenzi wao wa zamani baada ya kuona kule walipoenda mambo si mambo. Si kwa wote lakini. Moja kati ya kiu kinachowasumbua viumbe hawa ni ile ndoto yao ya kuwa na mpenzi wa aina fulani. Kuwa na ndoto si kosa ila ndoto na uhalisia wa maisha ni vitu...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

    jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
  17. Mstarabu kiona

    JamiiForums Tanzania MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

    Binadamu ni walele walioko mitandaoni na walioko majumbani au mtaani ni walele tu. Naona kuna wanaume au wanawake maneno yanawatoka kusema ety ""siowezii kuwa na mahusiano ya kimapenzii na mtu tuliekutana mtandaoni"". Huko ni kutokujiaminii maana ata wewe unaejifanya unazo Akili na kujitambua...
  18. DLRider

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

    Wote tumekuwa katika mapenzi. Kwa bahati mbaya mapenzi huwa yanaumiza na watu tunaumia sana hadi baadaye ndio hayo maumive yanatupa mafundisho. Tusaidiane kwa kuandika visa mbalimbali vya tulivyoumizwa na wapenzi wetu. Mimi Nitaanza: Mwaka juzi nilimpenda sana mdada mmoja Arusha. Tukawa na...
  19. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

    Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi...
  20. J23

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 27, natafuta mpenzi wa kike Dar

    Habari wana JF, Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar. Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi temeke. Natafuta mpenzi awe sifa zifuatazo; 1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25 2. Asiwe...
Back
Top Bottom