Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
 
Back
Top Bottom