Rafiki yangu mpendwa,
Kuna njia kuu mbili za kujifunza kwa wengine ili uweze kufanikiwa.
Njia ya kwanza ni kuwaangalia wale waliofanikiwa na kujua misingi wanayoiishi ili na wewe uweze kuiishi na kufanikiwa. Wanasema mafanikio huwa yanaacha alama, hivyo ukiziona alama hizo na ukaziishi, una...