mpango

  1. J

    Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

    Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa. Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu. Mambo muhimu ya Fedha na...
  2. A

    Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

    Leo Watanzania tumeamka na uteuzi wa Mawaziri Dr. Phillip Mpango katika Wizara ya Fedha na Prof. Palamagamba Kabudi katika Wizara ya Mambo ya Nje. Maswali mengi yameibuka kuhusu huu uteuzi. Kwanza huu uteuzi umekiuka utaratibu wa kikatiba. Ibara 51(1) ya Katiba yetu ta Tanzania inasema Waziri...
  3. GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  4. Leo nimemkumbuka mwanamuziki Kikumbi Mwanza Mpango, King Kikii, aliposema "Tushike ya kwetu, tusiwape muda karagosi", karagosi ni nani?

    Wanabodi, leo nikiwa natoka mahali kwa kutumia public transport, ukapigwa wimbo wa King Kikii, kitambaa cheupe, hivyo from no where, nimetokea kumkumbuka mwanamuziki mkongwe huyu, jina kamili ni Kikumbi Mwanza Mpango, aka King Kikii, kumbe pia alikuwa na vibwagizo fulani vya kisiasa vya kiaina...
  5. Matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango vyaongeza Saratani ya matiti kwa mabinti

    Ongezeko la saratani kwa wasichana latisha TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI), imebainisha kuwapo ongezeko la saratani ya matiti kwa wasichana nchini, kunakochagizwa na matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango. Imesema wasichana wenye umri kuanzia miaka 25 ndio kundi lililothibitika...
  6. GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  7. GE2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake. Hivyo, kama heading...
  8. M

    Mpango wa kukuza mfuko wa taasisi za kijamii (NGO,CBO, SC) fundraising program

    Tuanzia hapa… Kumekuwa na wimbi kubwa la taasisi za kijamii kuanzishwa, kuyumba hata kupelekea kufa kutokana na ukosefu wa mbinu za kutafuta fedha za kuendeshea shughuli zao au miradi yao. Nathubutu kusema ni kukosa mbinu za kutafuta fedha kwa sababu fedhaa zipo ila tambua ili uzipate lazima...
  9. J

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete. Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
  10. T

    GE2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

    Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote. Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
  11. Marekani imetangaza kuwa haitahusika katika Mpango wa Ulimwengu unaolenga kutengeneza, kutoa na kusambaza chanjo dhidi ya COVID-19

    Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Akisisitiza kuwa Marekani itafanya suala la chanjo peke yake...
  12. Nyuma ya pazia: Man United na mpango wa kumsajili Messi

    Habari yako, nakumbuka mwaka jana mwezi May nilipata bahati ya kutembelea jiji la London nilienda kwa shughuri zangu binafsi lakini nilipata nafasi ya kutembelea mgahawa mmoja kwaajili ya kupata chochote kitu. Nikiwa naendelea kupata vyangu nyuma ya meza niliyokaa kulikua na watu kama watatu...
  13. Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  14. CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  15. Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
  16. Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

    Taarifa nyingi zinazozagaa kuwa Nina mawasiliano na huyu Naibu Waziri si za kweli na wala sijawahi kuonana naye tangu nilipotoka CHADEMA Desemba 2012. Sina MASLAHI naye na hivyo niwasiliane naye kwa masilahi gani? Na shida gani? Ninauwezo wa kujisimamia kuliko Wabunge wote na Mawaziri wote...
  17. Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
  18. Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  19. T

    Italy inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G

    Nchi ya Italia inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G sawa na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya Mwaka jana Italia ilitoa green light kwa kampuni ya Huawei kushiriki kwenye uanzishwaji wa 5G nchini humo. Sasa kutokana na shinikizo kubwa la Marekani kwa nchi washirika kuachana na Huawei...
  20. J

    Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…