Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,340
2,296
IMG_20210206_162857.jpg

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
 
View attachment 1695994

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Kifo siyo kibaya mara zote. Imagine watu kama kina Hitler, Idd Amin, Magufuli, Mobutu wangekuwa wanaishi milele.

Duniani pangegeuka Jehannum
 
Laiti Mungu wako angekuwa hivyo basi usingezaliwa.

Kuzaliwa maana yake haukuwepo kabisa.

Sasa huyo mungu wako kwa nini akakuacha uje duniani wakati ulikuwa mfu tayari ?
 
Biblia inakiita kifo ni adui,je adui ni mzuri kwako?
 
Laiti Mungu wako angekuwa hivyo basi usingezaliwa.

Kuzaliwa maana yake haukuwepo kabisa.

Sasa huyo mungu wako kwa nini akakuacha uje duniani wakati ulikuwa mfu tayari ?
Maandiko gani yanasema hivyo
 
Kama watu wasingekufa bhas wasingezaliwa wengine kwan ili waishi kuna viumbe lazima wafe na binadam pia akifa kuna faida kwa viumbe wengine
Mtu akifa mungu kamuua? Afu bado unaendelea kumuomba
 
Back
Top Bottom