Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa...
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga.
Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara.
Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
Habarini wakuu,
Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia.
Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais.
Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?
Kila zama na kitabu chake!
Maendeleo hayana vyama.
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
Nimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi.
Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha.
Dkt. Mpango...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema amemteua Dr Mpango kama makamu wa Rais kwa sababu ni mtaalamu wa uchumi na kwamba atamsaidia katika maswala ya uchumi na fedha.
Rais Samia amesema inaeleweka kuwa ofisi ya makamu wa Rais inashughulika na mambo ya Muungano, Umaskini na Mazingira lakini Dr Mpango...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo na hataki hata kusikia hilo neno kustaafu.
Afisa mmoja wa polisi, Arkansas nchini Marekani...
Mabibi na mabwana safu ya juu kimsingi imekamilika. Sura zote mbili hizi ni mpya:
1. Samia ni mtaka maridhiano, muungwana na aliyedhamiria kupambana na wapigaji.
2. Dr. Mpango ni muungwana aliyeonja uhalisia wa Corona, mchumi ambaye kwa hali yoyote yeye kama mwenye uamuzi, hawezi kukubaliana...
Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.
Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko.
Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya.
BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji.
Maendeleo hayana vyama!
Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi.
Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu.
Hana makando kando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.