TBC fanyeni mpango makala za Denis Mpagaze zisikike kwenu

Cotton pamba

JF-Expert Member
Dec 16, 2020
303
208
Habari zenu wana jamvi, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada iliyo nileta hapa. Ni kwa muda sasa nimekuwa nikifwatilia makala zinazoandaliwa na huyu kijana wa kitanzania bwana Denis Mpagaze. Makala hizi kwa wale tuliowahi zitegea sikio, hapana shaka mtakubaliana na mimi kuwa ni makala zilizobeba jumbe tofauti tofauti kwa jamii.

Kuna makala zinaelezea historia, siasa, uchumi, utamaduni in every positive way. Ombi langu kwa TBC watafute namna zisikike kwenye platform hii ya taifa ukizingatia makala ni za kujenga. Kwa nini TBC ukweli ni kwamba ndiko kodi zetu zinatumika kuendeshea shirika. Sio wote wanaweza tembelea youtube kuzisikiliza, hivyo basi zipewe nafasi huko. Karibuni wadau kwa mawazo.
 
Hizo makala kama hazimsifu le namba wani, profess, Dr, mkemia mkuu, mwana uchumi, mwanasayansi, na chama chake cha sisiem, haziwezi pewa nafasi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚chache humsifia pia mkuu
 
π•‚π•¨π•–π•π•š π•“π•’π•Ÿπ•’ ℍ𝕦π•ͺ𝕦 π•žπ•¨π•’π•žπ•“π•’ π•Ÿπ•š 𝕙𝕒π•₯𝕒𝕣𝕖
 
Tatizo la tbc kuna mambo ataambiwa hiyo acha tutaharibu ushirikiano wetu kama taifa, mara ataambiwa kesho andaa mada ya kumpamba mkemia mkuu 😷!

NOTE:

Weekend inapoenda kuisha, vaa barakoa, kaa mbali na mkusanyiko na osha mikono kwa sabuni.
 
huyo cjui ndo denis akatae tu maana kila cku atakua anatoa mapambio ya kusifu jiwe

mitano tena.
 
Tatizo la tbc kuna mambo ataambiwa hiyo acha tutaharibu ushirikiano wetu kama taifa, mara ataambiwa kesho andaa mada ya kumpamba mkemia mkuu 😷!

NOTE:

Weekend inapoenda kuisha, vaa barakoa, kaa mbali na mkusanyiko na osha mikono kwa sabuni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weeeeee na yule mzee mc, wa tafakari ya leo apelekwe wapi,unataka mtoto wa watu akaroogwe apotee.
Mwaka jana wamedondoka sana pale nani ajuaye..km ni kweli ni bp na kisukari? We don't know behind the death.
 
Lol

Inamaana huwa hawataki mawazo mbadala?? Mbona kazi ipo
 
Back
Top Bottom