Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake.
Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge.
Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais.
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
"Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani.
Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani Tanzania.
Mpango ulianzishwa nakuasisiwa na Abdul ghafur kwa...
Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona mkiendelea kuonyesha full respect and security kwenye mazishi Kama ilivyokuwa wakati wa uhai wake...
Usafi na mpangilio mzuri wa vitu vya ndani huenda pamoja. Huwezi kuwa msafi lakini ushindwe kupanga vitu vyako vizuri. Wana saikologia husema mpangilio mzuri wa vitu husaidia akili kutulia.
Kuna wanaofikiria usafi huendana na uwezo wa kiuchumi. Hapana kuna watu wanaishi maisha duni lakini...
Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini.
Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo.
Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama...
Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa.
Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo.
Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli.
Amesema kama hauna uhakika na...
Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania.
Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha.
Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee.
Ni Jambo...
Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni
=======
Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa amesema:
"Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Tuna Sheria ya Utumishi wa...
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.
Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.