Nimechoka wakuu
Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani
kadri mda unavyoenda naona...
Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya!
Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana.
Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
Unene karaha aisee, mda mwingine unashindwa hata kufunga kamba za viatu
Sex ilikuwa naikimbia mwenyewe, nilitunukiwa na mtoto wa ki-ghana aisee akaja ghetto ghafla bin vuuh, aisee nilipiga viwili kitabu sana.
Asili ya mwili wangu ni mwembamba na nilikuwa bize na kazi no relationship, no...
Wasalam ndugu zangu.....
Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea.
Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya Rasilimali. Una mali lakini unabaki maskini zaidi.
TUTAPOTEZA VIZAZI 2
Kizazi cha leo kinapata...
Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania)
niwe na kiasi hicho Cha Pesa.
Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana.
Thanks in advance
Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni...
Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe.
utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu.
Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
Anonymous
Thread
cbe
hayana
januari
matokeo
mpaka
mtihani
mwanza
wanafunzi
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu.
Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
Alipopewa tu U-waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza.
Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake.
Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.
1. Ndugu Mafwele
2. Ndugu Muliro
3. Ndugu Abdul
Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea.
Nawasilisha.
Hili kundi lina hit na classic songs kama celebration, cherish na fresh
Lakini ukiusikiliza wimbo wa Cherish utakubaliana nami ni aina ya wimbo ambao unaweza kusikilizwa na mtu wa miaka ya 80, mzazi wa leo, au kijana wa sasa na bado ukahisi uzuri wake
Ilikuwa mwaka 1985 Kool & The Gang...
Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu.
Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana .
Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.