mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Early 2027 to 2029, its either us, or you but not them- 2027 mpaka 2029 huenda ni sisi, au nyie ila sio wale

    Hii ni tofauti na iliopita, walioshinda kwa sasa hawana cha kupoteza, usisimame kama unatambua miguu haina stamina, na hauna uwezo wa kukinga ukiwa hewani. Uzuri wa sayansi ya kufikiria ilio na vitendo kisha kupelekea matokeo, inahitaji uharaka wa kujua mienendo, namna utakavyo himili tendo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wapishi mnatukera muda mwingine mnajaza viungo mpaka chakula kinakosa ladha

    Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge. Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au mkataba shule ya msingi kupitia mradi gpe ambao tuliletwa na Tamisemi, tupo nchi nzima mpaka sasa hatujalipwa

    Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yani wamefikia mpaka kwenda kuonga na kutoa lolote ili ya October 29 na yanaendelea waonekane wasafi

    Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje Tanzania wajionee kuwa nchi tulivu Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia Tanzania salama. Kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kundi la kigaidi likitokea kuna Watu Wanasema ni mkono wa CIA au Mossad,mbaya zaidi hadithi za vijiweni zinaaminiwa mpaka na wasomi

    Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na mengine mengi, jibu lao ni moja tu Marekani ndiyo waliunda.kwamba CIA ndo wanafadhili mafunzo na kuyapa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas walioangamizwa na Majeshi ya Israel mpaka leo!!

    Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas waliokaa kwa miaka ming na siku chache!!! Orodha hii aione Bumunda zitto junior 1. Salah Shehadeh, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas na kamanda wake wa kwanza kuanzia 1991 hadi kuangamizwa kwake Julai 23, 2002 katika shambulio la Israeli. Alihudumu...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mkuu mstaff Dr. Slaa kilipotelea wapi? Kama siyo hicho kinachoteka watu mpaka sasa

    Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa? Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy 🚮
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ina maana mpaka zile pingu ni za kisasa zikaenda kufunguliwa polisi.Na kwa nini walipigiwa simu na polisi

    Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo. Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya. Kwa jinsi jeshi la polisi linavyojipeleka mda sio mchache sijui kama 2030 inafika kuna watu naona...
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa sub-saharans bado tunaamini sababu ya tabu zetu ni wazungu?

    Mimi nafikiri ni mengi tumefichwa na tukaruhusu kufichwa zaidi Ila naamini hadi sasa mnaelewa mchawi wenu ni nani
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuamini ndoa ni Mpaka ifungwe kanisani au Msikitini ni dalili ya utumwa na uelewa mdogo kwa watu

    KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini hawadharau kwa mambo mazuri bali kwa baadhi ya ishu walizonazo. Hasa kifikra. 2. Fikiria binti aliyehitimu...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sharpeville Masacre, March 21st 1962 kwanini inakumbukwa Duniani mpaka leo. October 29, 2025 itakumbukwa kwa mtindo huo milele na milele

    Inasikitisha.....Naona CCM inakwenda kwenye mkondo wa Sharpeville Masacre and here we are! Tume ya jana itakuja na mapendekezo ya kuifuta Sikiliza clip
  17. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

    Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na wengine ambao kwao muda huu ndio kama kumekucha Lakini kama wewe haupo kwenye kundi hilo halafu mpaka...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tunakataaa kuwajibishana kwa maslahi ya nani? Kwanini mpaka leo Viongozi wa Vyombo vya ulinzi wa Usalama wako ofisini?

    Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge Uliowaua wanalia MIKONOni mwakoooo!
  19. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

    Nani mwingine aliona hio kitu
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watu 178 tuliitwa kuripoti kazini VETA Dodoma, Februari 14, 2026, mpaka sasa hatujapangiwa vituo

    Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Februari 2026. Tulifika Ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine… lakini hadi leo tunaingia mwezi wa tatu tunasubiri taarifa za kupangiwa vituo vya kazi na hakuna...
Back
Top Bottom