mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    PostGE2025 Msimamo wa watawala mpaka sasa unazidi kuiweka nchi pabaya zaidi

    Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi 1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje 2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili 3. Waandamanaji walilipwa 4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje...
  2. M

    Suzuki swift M13a

    Habari wadau Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari 1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki, 3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser 4. Inatembea umbali mrefu bila...
  3. Common Folk

    CCM mkiendelea kukaza shingo, hawatang'oka viongozi tu, bali mpaka chama kitakufa, hakuna atakayetaka kukisikia milele.

    Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa. Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani...
  4. Genius Man

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  5. Abraham Lincolnn

    Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  6. Kijukuu cha ngoyayi

    TUMETOKA KWENYE POLISI TANZANIA MPAKA HUKU?

    Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
  7. Genius Man

    Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ?

    Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ? Nilisema hakuna hata mmoja kati yao mwenye huo ubavu, na hali ya uwepo wa maandamano yasiyo ya kikomo ndio wanachizika kabisa Kitakacho tokea sisi...
  8. Lord Denning

    PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  9. S

    Hivi kwanini mpaka leo hatutumii body bags kuhifadhia maiti Tanzania!

    Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu, Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China
  10. Desierto

    PostGE2025 Tumesubiria mpaka tumechoka. Zifanyike sherehe za ushindi wa CCM

    Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha, Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa. Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
  11. October 2pm

    Redcross kuvujisha video za kutisha mpaka tarehe 25

    Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu...
  12. M

    Hizi videos zinatolewa kimkakati sana, kuna videos za kutisha zaidi zimeminywa hazitoki mpaka December

    Nilichogundua kuna videos nyingi sana, lakini zinatolewa kwa mkakati maalum. Kila wiki, video itatolewa kulingana na ukubwa wa athari inazoweza kuleta kwa hisia za watazamaji, kufikia December zitaanza kupandishwa videos zisizotazamika mara mbili.
  13. Sales man

    hawa madogo wa buku bee mlikuwa mnawadharau ila ndo wameipa nchi heshima mpaka sasa .

    ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
  14. Fbn

    Raisi mpaka sasa yupo chini ya jeshi ambaye kashinda asilimia 98 mbona anaogopa kuwa anapendwa.

    Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?. Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
  15. kyagata

    PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  16. Just Pray

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Nani aliruhusu wauawe? Hata aliyehukumiwa kifo na mahakama ni mpaka mama aweke sahihi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza; NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini! Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie: 1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
  17. Genius Man

    Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi

    Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi.
  18. Kimbesa11

    Ukisoma Historia ya Tanzania toka mwaka 1961 mpaka sasa, Tanzania si nchi ya kutishwa na Gen Z, hawa wanadhibitiwa na migambo tu na Dunia ione

    Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu. Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
  19. R

    PostGE2025 Askofu Msoganzila: Nchi inanuka, wauaji msipotubu damu hiyo itawalilia mpaka mnakufa

    Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
  20. Hance Mtanashati

    Mlishajiuliza kwanini wachina hawajasema chochote mpaka sasa?

    Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?. Nitarudi.
Back
Top Bottom