Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

Tangu lini Azam imeanza kutumika kisiasa? Acha us.nge
 
Labda useme ziliongezwa dakika 3 halafu zikachezwa 7.

Kwenye screen ziliongezwa 3 ila ubao sijaona ukioneshwa.
 
Sifuatiliagi mpira wa bongo
Mimi niliacha kufuatilia msimu toka uliopita....tena sijui mwaka huu una afadhali, mwaka jana hali ilikuwa mbaya zaidi.......

Siku hizi ligi zote za ulaya dakika za majeruhi muda ni uniform kati ya dk 6-9 hapo....
Una wachezaji waliosajiriwa kwa gharama kubwa, mishahara na motisha nono, halafu bado wasaidiwe kushinda na refa kwa timu ndogo kama Pamba!
Tuna mambo ya kihuni sana.
 
Unaambiwa kwenye historia ya mpira Azam hajawahi kumfunga pamba mpaka hiyo ambayo

Dk zimeongezwa alaf zimepunguzwa, ndio wameweza kuwafunga
 
Mimi niliacha kufuatilia msimu toka uliopita....tena sijui mwaka huu una afadhali, mwaka jana hali ilikuwa mbaya zaidi.......

Siku hizi ligi zote za ulaya dakika za majeruhi muda ni uniform kati ya dk 6-9 hapo....
Una wachezaji waliosajiriwa kwa gharama kubwa, mishahara na motisha nono, halafu bado wasaidiwe kushinda na refa kwa timu ndogo kama Pamba!
Tuna mambo ya kihuni sana.
Umejuaje msimu huu afadhali wakati uliacha kufuatilia
 
Back
Top Bottom