mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. tilmikha

    JamiiForums Tanzania Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania HIVI SOKA ALIFANYA NINI MPAKA AKAPOTEZWA?

    Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

    Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna...
  6. Doubleg Malafyale

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Meru (Meru DC) haijawalipa pesa ya kujikimu Walimu ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026

    Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026. Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania By any stretch of imagination, hakuna cross examination ambayo mpaka sasa imefanikiwa to implicate Lisu with treason accusations facing him!

    Sana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini. Lengo lake na CCM ni kumfanya Heche achukiwe na wana chadema kuwa anaiba hela za chadema. Ikumbuke kuwa Hche...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Labour Care Guide (LCG) ina mapungufu , sijui kwa nini mpaka leo hata WHO wamekalia kimya

    Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto wote wanakuwa salama . Lakini cha kusikitisha ni kwamba hii LCG binafsi nimeshaona mapungufu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchimbi mpaka leo hajaenda kizimkazi kutoa pole

    Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
  10. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Ded-Kilindi Tanga amnyanyasa mwalimu mpaka aache kazi?Mh.Waziri mkuu ingilia kati suala hili.

    Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwananchi aiomba serikali imsaidie kupata kibali kuchunguza uwepo wa madini katika eneo lake

    Mkazi wa Kijiji cha Saragulwa, Wilaya na Mkoa wa Geita, Wambura Nyalang’o, ameiomba Serikali kumsaidia kupata ufumbuzi wa changamoto ya leseni ya utafiti wa madini inayodaiwa kuwepo katika eneo analomiliki, ili aweze kupata kibali cha kujenga kiwanda cha kuchakata dhahabu. Wambura Nyalang’o...
  12. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  13. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Tutalalamika mpaka lini?

    Morning wana JF Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo 1. Tumeongea sana tukiomba maboresho ya Katiba 2. Tumezungumza sana kuhusu kupitiwa upya kwa suala la Muungano 3. Tumezungumza kuhusu Mahakama na utendaji kazi wake (Mpaka...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania El nino ya 1999 dec,ndiyo iliyofikia level 4,sasa hii imejijenga mpaka level 5...

    Hii built up ya level 5 inayotaka kielekea level 6 ,huenda ikaharibu viumbe bahari kwa 80% pamoja na kusababisha coral reef melt away katika bahari ya pacific,kumbuka visiwa vingi hapa duniani chini yake hushikiliwa na corol reefs!... -------- El Niño can turn the tropical Pacific into a vast...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila. Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ina idadi ya wanachama wangapi nchi nzima mpaka sasa?

    Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali. Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo. Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Peter Greenberg hajatoa pole kwa mh. Rais mpaka muda huu

    Wakati wa shida ndio utajua nani rafiki yako. Rafiki mpendwa wa mheshimiwa rais Samia ndugu Peter Greenberg ameshindwa kutoa pole zake kwa Samia kufuatia kifo cha mzee Hafidhi. Kuelekea masaa 24 baada ya msiba hamna rambirambi kutoka kwa Greenberg hata kashindwa na wavuja jasho wakina Kigwangallah
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ujenzi wa Gaza mpya mpaka wakubwa liane na Matakwa yetu-Benjamin Netanyahu

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza: Hakutakuwa na ujenzi mpya huko Gaza isipokuwa, kwanza kabisa, kutakuwa na uondoaji wa kijeshi. Siwezi kukuambia ni aina gani ya ujenzi mpya utakaokuwa; tunajadili hili na marafiki zetu wa Marekani. Wakati mwingine tunaonana ana kwa ana...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
Back
Top Bottom