Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,062
Reaction score
6,570
Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake.

Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru.

Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo.

Naishia hapa....
 
Vyama dola kongwe vya ukombozi CCM, FRELIMO, MPLA, SWAPO, ZANU-PF na mikakati ya kubaki madarakani kwa hila zote katili huku maendeleo ya kiuchumi ya raia yakiporomoka bila vyama hivyo kujali maendeleo ya watu yaliyopatikana kabla ya uhuru wa bendera

Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake.

Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru.

Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo.

Naishia hapa....
Gentleman,
kama taifa,
tunao wajibu mkubwa sana wa kizalendo, kujifunga mkaja na kufanya kazi kwa bidii na bila kuchoka, ili hatimae tuwe na taifa imara na linalojitegemea kiuchumi, kijamii na kiuchumi.

hakuna sababu hata moja kusingizia waliowajibika kikamilifu kujikomboa wao na kukomboa wengine kwa wakati wao.

Tupige kazi plz 🐒
 
The past has gone, forget it ! The future hasn’t arrived to hell with it ! The present is here use it 😳 !

Kwa Kisukuma Tunasemaga Yaliyopita si ndwele ! Tugange yaliyopo !
 
Gentleman,
kama taifa,
tunao wajibu mkubwa sana wa kizalendo, kujifunga mkaja na kufanya kazi kwa bidii na bila kuchoka, ili hatimae tuwe na taifa imara na linalojitegemea kiuchumi, kijamii na kiuchumi.

hakuna sababu hata moja kusingizia waliowajibika kikamilifu kujikomboa wao na kukomboa wengine kwa wakati wao.

Tupige kazi plz 🐒
We piga kazi ila wale walevi wavivu huko South afrika
Hawajuwi historia yao,hawajui wenzao struggle
Zao nchi nyingi ziliwasaidia

Ova
 
Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake.

Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru.

Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo.

Naishia hapa....
Tena waliyokimbia tukawapokea na kuwahifadhi huku tz
Mf mazimbo moro na kwengineko,wengine
Mpaka makazi dar walipewa wakae bure

Ova
 
We piga kazi ila wale walevi wavivu huko South afrika
Hawajuwi historia yao,hawajui wenzao struggle
Zao nchi nyingi ziliwasaidia

Ova
Gentleman,
suluhisho mujarabu la malalamiko na visingizio vya kivivu kama hivi ni kupiga kazi kwenda mbele,

huwezi kukuta mchapakazi hodari popote ulimwenguni, ni mnyonge wa kiuchumi na mwenye malalamiko na visingizio useless kama hivi dhidi ya hali yake ya uvivu inayomuwazisha umaskini tupu 🐒
 
We piga kazi huko gentleman
Kazi zote huko tumewaachia na legacy juu tumewaachia 😄

uvivu unachochea kulalamikia kila kitu gentleman, na matokeo ya uvivu ni unyonge wa kiuchumi ambao hufanya vijana wengi kua wakali sana kama chui na wenye mihemko ya haraka sana kama nyumbu,

uweza hata kubutuliwa na kiti aise ukikutana na kijana aliezingwa na hali hizo aise halafu mkatofautiana hata kakitu kadogo tu.Aise?🐒
 
We kiboko 😄
Mbona kama uko nje ya mada
Ngj nkirudi huko tukashike jembe wote basi

no no no no gentleman,
niko ndraaani ndraaani ndraaani kabisa ya hoja, na tena niko juu yake kidogo,

Njoo bana nikupe hata ekari 50 tu za kuanzia gentleman 🐒
 
Hakuna namna tena

Nyerere alikua na zana za ujamaa

Kuna wazee vijijini waligawa mashamba bure kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa

Issu ni kwamba Nyerere hakua mbele ya mda
Hakuwa mbele ya muda na ndio maana hakujilimbikizia mimali kede kede !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
Maana wakati ule ilikuwa hakuna watu wa kulalamika lalamika kama sasa 😁 !
 
Back
Top Bottom