moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Musoma: CHADEMA wakutana kwa ajenda moja tu ya kuitokomeza CCM

    Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati wa sasa wa CHADEMA ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

    Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais. Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
  3. JamiiForums Tanzania Yaani mtoto amesomeshwa mwaka mzima. Mzazi arudie kwa wiki moja.

    Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea??? Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake. Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa?? Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  5. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  6. JamiiForums Tanzania Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

    Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ? Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker...
  7. JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM. Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

    Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance. https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
  9. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  10. JamiiForums Tanzania Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

    Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda. Kijana mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Mmeru na Mwarusha ni kabila moja?

    Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo. Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
  12. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
  14. JamiiForums Tanzania Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

    Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja. Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

    Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi. Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti? Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku...
  16. JamiiForums Tanzania Moja wapo ya Fungu kwenye Biblia linalotafsiriwa vibaya: Matendo ya Mitume 10:15

    Watu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa. Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili...
  17. JamiiForums Tanzania Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa , ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilisema Jumatano, ikijibu maswali kutoka kwa askofu. Idara hiyo, inayojulikana kama Dicastery of the Doctrine of the Faith, haikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Dani Cadena kocha bingwa wa figisu asiye na uwezo aliyeivuruga Azam. Kaweza kuzuia Mgunda lakini hatashinda gemu hata moja

    Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji. kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa. Toka aje simba kiwango cha makipa...
  19. JamiiForums Tanzania Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana? Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika. Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!! JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
  20. JamiiForums Tanzania Nondo za Luhaga Mpina, ndio maana Mzalendo namba moja hayati JPM alimkubali sana

    "Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…