moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  2. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  3. clifford20

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile. Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria. Kitendo cha mwanamke...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kupiga na kutesa wanyama wasio na hatia wala akili ni kiashiria moja wapo cha kuwa na upungufu wa akili (Mbwiga)

    Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

    Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k. Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa. Nini kimepelekea hali hii?
  6. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  7. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme ni moja ya mambo yaliyofanya CCM ichukiwe jiji la Dar Awamu ya Nne

    Jiji hili shughuli nyingi za uchumi zinategemea nishati hii ya umeme kukosekana kwa umeme kunaenda kumuathiri mwananchi moja kwa moja kwanzia mama ntilie, wauza juice, kazi za kulanda mbao,magarage,wenye biashara za saloon na barbershop hizi ndio biashara pendwa jiji hili na zimetapakaa kila...
  8. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawakai jiko moja

    Maneno haya yalitoka kinywani mwa babu yangu miaka kadhaa iliyopita. Na mara kwa mara nimeshuhudia na kuikumbuka kauli hiyo. Mawifi hawakai jiko moja..mama mkwe ndio kabisaa mwanzo wa kuonana wachawi..hata marafiki watacheka usoni utadhani wana raha...lakini kamwe nafsi zao katika mazingira ya...
  9. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Bidhaa ambayo inatoa faida ghafi ya laki moja na zaidi kwa kila pc

    Habari zenu wapambanaji, Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya laki kwa kila pc. Bidhaa iyo haijalishi iwe inapatikana nchini mwetu au kuagizwa. Asante
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini hayatakiwi kukatiwa umeme sababu ya umuhimu wao kiuchumi. Kariakoo siyo moja wapo

    Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao. Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TLS yadaiwa kugawanyika makundi mawili, Rais Sungusia apingwa na kundi moja

    Mpasuko mkubwa unafukuta ndani ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ukihusisha baadhi ya viongozi wanaounda Baraza la uongozi la chama hicho, Jambo Media inaripoti. Taarifa za mpasuko huo zimebainishwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TLS, zikionyesha wazi kama hali itaendelea hivyo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mhe. Waziri Mkuu kama waliotumia milioni kumi na moja wakiwajibishwa kwa haki; uchunguzi ufanyike kwa watendaji wa Idara na Wizara kuona wanavyojilipa

    Halmashauri zinaishi kama Idara na Wizara zinavyoishi. Nimeona mawazo na mtizamo wa Mhe. Waziri Mkuu kuhusu udhibiti wa fedha za umma. Namwomba atoe maelekezo kwa wizara na Idara ziwasilishe kwake Idadi ya watumishi wanaolipwa mara mbili kwa siku moja muda mmoja ila vikao tofauti. Akiweza...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

    Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi. Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa. Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
  14. Chai ya saa kumi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

    Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli. Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja. Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
  17. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tuna Nafasi Moja Kwa Clinical Officer Kufanya Field Au Volunteer

    Natural Skin Solution yenye makao yake Kibaha Tanzania, tunapenda kutangazia wahitimu wa Clinical Officer au wanafunzi wa fani ya Clinical medicine ,tuna nafasi moja tu ya field au volunteer. Wasiliana nasi kwa 0713 039 875 kwa maelezo zaidi. (Siko hapa jukwaani muda mwingi, tumia Simu)...
  19. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
Back
Top Bottom