Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba moja duniani

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,333
8,252
Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani.

Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault.

Elon Musk anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya hisa katika kampuni yake ya Tesla kupanda mapema jumatatu hii.

Msimamo ulivyo kwa sasa
1. Elon Musk - Utajiri $210.6 B
2. Bernard Arnault & family - Utajiri $207.2 B
3. Jeff Bezos - Utajiri $181.2 B
4. Larry Ellison - Utajiri $142.1 B
5. Mark Zuckerberg - Utajiri $141.2 B

PIA SOMA
- Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani | JamiiForums

Wiki iliyopita mambo yalikua hivi:
IMG-20240131-WA0034.jpg
 
Elon Musk alivyo mpenda sifa kumtoa hapo siyo rahisi ni wakati wake huu
 
Back
Top Bottom