Ufunuo wa Mwafrika, Kalenda nyingi dunia moja!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,564
93,234
KALENDA NYINGI DUNIA MOJA

1. Kalenda ya Gregorian
2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia)
3. Kalenda ya Ethiopia
4. Kalenda ya Kiyahudi
5. Kalenda ya Kichina
6. Kalenda ya Hijira
7. Kalenda ya Kiajemi
8. Kalenda ya Kijapani
9. Kalenda ya Julian
10. Kalenda ya Buddha
11. Kalenda ya Kihindu (Vikram Samvat, Shaka Samvat, na Kali Yuga)
12. Kalenda ya Mayan
13. Kalenda ya Misri
14. Kalenda ya Mapinduzi ya Kifaransa
15. Kalenda ya Sumeri
16. Kalenda ya Zoroastrian
17. Kalenda ya Celtic
18. Kalenda ya Kapadokia
19. Kalenda ya Achaemenid
20. Kalenda ya Attic
21. Kalenda za Kigiriki za Kale.
22. Kalenda ya Igbo

Huko juu👆👆👆👆 una zaidi ya kalenda 22 tofauti zinazotumika au zInaendeleas kutumika ulimwenguni. Niliamua kuchimbua hili ili kukujulisha kwamba Kalenda ya Gregorian ndio inayotumiwa katika sehemu nyingi za dunia, Tanzania pia ikijumuisha, na hizo zingine zilizo baki zInaendelea kutumika na mataifa mengine

Karenda ni mfumo uliotungwa na wanadamu ili kuendana na latiba zao za kimsaisha hata wewe unaweza kutunga yako na maisha taka endelea

Nataka ujue kua. Mwanadamu alivumbua kalenda na kwa miaka mingi akairekebisha, akaiacha au akaiunda upya ili iendane na kusudi lake.

_Lazima ujue tarehe 1 Januari sio mwanzo wa mwaka kwa kila mtu hapa duniani.

Vivyo hivyo, tarehe 31 Desemba sio mwisho wa mwaka kwa kila mtu duniani.

Hipo hivyo hata kwa dini hakuna dini moja na usizani kua dini yako ndio dini pekee duniani huko ni kukalili

Dini ni mfumo tena uliotungwa na watu kadhaa ili kuendelea kutukuza jambo furani mahususi kwajili yao

Ujinga wa waafrica kuchukua imani na kufanya ni kweli wakati imani sio kweli imani ni kuamini na sio kujua wengi wetu tunaamini lakini hatujui

SIJUI NIMEELEWEKA HAPO?

Credit: Mkushi T'challa Sut'eh.
 
Ila wote hao ni wazi wanatumia mfumo mMoja wa kufanyia reference. Kwamba huiwezi kuwa na kalenda Yako ambayo Haina reference Kwa kalenda kuu. Otherwise utajikuta hauendani na muda na wengine.
 
Umesahau na kalenda ya demu wangu kwa sababu kila siku ananipiga kalenda
 
KALENDA NYINGI DUNIA MOJA

1. Kalenda ya Gregorian
2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia)
3. Kalenda ya Ethiopia
4. Kalenda ya Kiyahudi
5. Kalenda ya Kichina
6. Kalenda ya Hijira
7. Kalenda ya Kiajemi
8. Kalenda ya Kijapani
9. Kalenda ya Julian
10. Kalenda ya Buddha
11. Kalenda ya Kihindu (Vikram Samvat, Shaka Samvat, na Kali Yuga)
12. Kalenda ya Mayan
13. Kalenda ya Misri
14. Kalenda ya Mapinduzi ya Kifaransa
15. Kalenda ya Sumeri
16. Kalenda ya Zoroastrian
17. Kalenda ya Celtic
18. Kalenda ya Kapadokia
19. Kalenda ya Achaemenid
20. Kalenda ya Attic
21. Kalenda za Kigiriki za Kale.
22. Kalenda ya Igbo

Huko juu una zaidi ya kalenda 22 tofauti zinazotumika au zInaendeleas kutumika ulimwenguni. Niliamua kuchimbua hili ili kukujulisha kwamba Kalenda ya Gregorian ndio inayotumiwa katika sehemu nyingi za dunia, Tanzania pia ikijumuisha, na hizo zingine zilizo baki zInaendelea kutumika na mataifa mengine

Karenda ni mfumo uliotungwa na wanadamu ili kuendana na latiba zao za kimsaisha hata wewe unaweza kutunga yako na maisha taka endelea

Nataka ujue kua. Mwanadamu alivumbua kalenda na kwa miaka mingi akairekebisha, akaiacha au akaiunda upya ili iendane na kusudi lake.

_Lazima ujue tarehe 1 Januari sio mwanzo wa mwaka kwa kila mtu hapa duniani.

Vivyo hivyo, tarehe 31 Desemba sio mwisho wa mwaka kwa kila mtu duniani.

Hipo hivyo hata kwa dini hakuna dini moja na usizani kua dini yako ndio dini pekee duniani huko ni kukalili

Dini ni mfumo tena uliotungwa na watu kadhaa ili kuendelea kutukuza jambo furani mahususi kwajili yao

Ujinga wa waafrica kuchukua imani na kufanya ni kweli wakati imani sio kweli imani ni kuamini na sio kujua wengi wetu tunaamini lakini hatujui

SIJUI NIMEELEWEKA HAPO?

Credit: Mkushi T'challa Sut'eh.
Upo sahihi mkuu. Wakati kalenda ya Gregorian ikisema leo ni tarehe 28/01/2024, kalenda ya Mayan inasema leo ni tarehe 11/08/3114.

Hii Dunia ni zaidi ya vile tunavyoijua.
 
Back
Top Bottom