Nandy ampiku Diamond Platinumz, amtoa namba moja

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube.

Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia namba moja kwa hivi sasa.

Snapinsta.app_424868636_341262032199519_3920286710001945554_n_1080.jpg

Diamond na wimbo wake wa Mapozi alikaa namba moja kwa siku nane mfululizo kwenye mtandao wa YouTube ila sasaivi amesogezwa mpaka kwenye namba mbili.

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube.

Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia namba moja kwa hivi sasa.

View attachment 2893065

Diamond na wimbo wake wa Mapozi alikaa namba moja kwa siku nane mfululizo kwenye mtandao wa YouTube ila sasaivi amesogezwa mpaka kwenye namba mbili.

Written by Mjanja M1
Na usisahau kuangalia pale dakika ya 2:54
 
Bc hukumuelewa diamond, yeye alisema yupo namba moja kwa views kuanzia huu mwaka uanze na sio trending ya wimbo mmoja
 
Nyimbo ya diamond kwanza ni audio na hiyo ya Nandy ni video alafu imekaa muda mrefu hapo juu kivyovyote lazima ishuke, la pili japo ni audio but ina views nyingi kuliko views ya Nandy na platform za kuuza nyimbo ndio inaongeza kwa mauzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom