mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya anasema aliyekufa ni Mmoja tu, ila Mashuhuda Wanaohojiwa wanasema ni Watatu je, tumuamini nani?

    Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

    Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter: "Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  6. og master plan

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni mpambano mkali kati ya watu 9 dhidi ya mtu mmoja: Wanawaza kunyoosha mikono na kusitisha mpambano! Putin noma!!

    Vs Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    1. They are selfish. 2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons. 3. They are emotional damaged. They don't care of other people feelings. Any thing is the right way as long as wapo happy hata for a short time. 4. They always...
  9. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Mnazi Mmoja ni superb

    Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha. Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani ya bunge kubainisha mambo ya ndani yanayorudisha nyuma shughuli za wananchi kimaendeleo. Ila...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  14. Jonazon01

    JamiiForums Tanzania SoC03 Yaliyomkuta Mwanaisha na Bima yake ya Afya

    Kulikuwa na mtu mmoja anayeitwa Mwanaisha ambaye alikuwa amejiandikisha kwa bima ya afya ili kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanapata huduma bora za afya. Hata hivyo, aligundua kuwa bima hiyo haikuwa na ubora wa kutosha na ilikuwa na mapungufu kadhaa. Mwanaisha alijikuta akikabiliana na...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mtumishi mmoja wa Afya alifariki kwa Ugonjwa wa Marburg Virus

    Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Dodoma ambapo ametoa pole na pongezi kwa Watumishi waliokuwa wakihudumia walioathirika na Ugonjwa huo mkoani Kagera. Machi 16, 2023 Serikali iliripoti uwepo wa Wagonjwa 7 na...
  16. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Edward Lowasa aliandaa vijana makini. Hussein Bashe ni mmoja wapo, yupo focused na mawazo ya kitajiri

    Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza kurithi yale tuliyoanzisha huko nyuma. Vision aliyonayo Bashe inapaswa kwenda kuwafungua macho...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane: Mwaka Mmoja Filamu ya Royal Tour Imetuletea nini?

    Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka mmoja baada ya kuzinduliwa kwa filamu hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Hassan...
  20. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji? Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki? Nimetoa taarifa hizi toka kwa Angitile Osiah kama alivyo eleza katika moja ya makala yake kwenye gazeti la...
Back
Top Bottom