Ng'ombe mwenye thamani ya IST

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano.

Lakini hii clip imenifingua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/=

Milioni kumi na mbili si bei ya IST used?

Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
 
Sasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng:eek:mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
 
Kasema lita 60 kwa siku! Rekebisha mahesabu! Na maziwa bei ni 1,500 kwa lita
 
Sasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
ngombe mwenye uzito karibia tani moja unamtunza kwa 2m kwa mwaka? hyo hela haitoshi mkuu.
 
Kwa maelezo yake yanauzwa almost yote mengine anajiuzia mwenynyewe kwenye miradi mingine ya mbwa..Ng'ombe inakamuliwa mara tatu sio mchezo kwa huku nilipo bei ya lita ni 2000×60=120000 kwa siku kwa ng'ombe mmoja kwa mwezi unaongelea Tsh 3,600,000/= kwa mwaka unaongelea Tsh 43,200,000/= endapo ngombe atakamuliwa mwaka mzima kitu ambacho ni nadra sana maana kuna majira huwa wanakaaaida ya kupunguza utoaji.

Mzee apewe pongezi sana ameamua kwakweli.
 
Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng:eek:mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
kwa hyo jk yeye ana ng'ombe kama hao? kuna mwamba alishasema hapa jf kuna kwenye baadhi ya ranch za taifa tuna pure breed ya boran, ambao nao kwenye uzito wanatisha.
 
Back
Top Bottom